nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Ni katika mchezo wa kujiandaa na klabu bingwa afrika dhidi ya washindi wenzao wa pili wa ligi ya Nigeria rivers utd ambapo Yanga ilishinda goli moja dhidi ya timu ngumu kabisa ya kihistoria iitwayo Pan african
Matokeo hayo yamezidi kuwapa matumaini wapenzi wa yanga ambayo juzi pia iliifunga team ngumu ya Friends rangers goals 3 kwa moja
Kongole kwa uongozi wa Yanga chini ya CEO SENZO, CEO genius kabisa afrika ambaye inabidi CEO wa simba akajifunze kwake jinsi ya kuendesha team kiuweledi ikiwepo kuiweka kambi na logistics zote za maandalizi ya michuano mikubwa,yanga na Senzo wamejipambanua kama team iliyopo serious na michuano mikubwa na lazima wachukue ubingwa wa frika au kufika fainali haswa ukichukulia kwamba wamemsajili manara
Nikiwepo kama shuhuda wa mchezo nilifurahishwa na jinsi makambo alivyokuwa akihaha uwanjani dhidi ya team hiyo ngumu ya Pan african na almanusura afunge ila shuti lake liligonga mwamba
***********************************
Yanga imeendelea kupata mechi za kirafiki na jioni hii imefanikiwa kupata ushindi mwembamba dhidi ya Pan African.
Bao la kipindi cha kwanza la mshambuliaji Fiston Mayele limetosha kuihakikishia Yanga ushindi huo katika mchezo wao wa pili wa kujipima nguvu tangu wakutane na Zanaco ya Zambia katika kilele cha wiki ya mwananchi ambapo Yanga ililala kwa mabao 2-1.
Mayele alifunga bao hilo kwa ufundi akimnyanyulia kipa wa Pan aliyetoka kuja kuzuia shambulizi hilo lililotokana na mpira mrefu wa beki wa Yanga.
Bao hilo la Mayele linakuwa la pili katika mechi ya pili mfululizo akitangulia kufunga bao moja wakati Yanga ikishinda mabao 3-1 dhidi ya Friends Ranger.
Mshambuliaji Heritier Makambo hakuwa na bahati ya kufunga baada ya kuingia kipindi cha pili kufuatia kupoteza nafasi ya wazi shuti lake likigonga mwamba.
Yanga bado inaendelea kucheza mechi za kirafiki sambamba na mazoezi kwa lengo la kujiweka tayari kabla ya kukutana na Rivers United ya Nigeria katika mchezo wa kwanza wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Timu hizo zitakutana Septemba 12 katika Uwanja wa Mkapa kabla ya kurudiana wiki moja mbele nchini Nigeria.

Yanga yaichapa Pan African, Mayele aendelea kutupia
SUNDAY SEPTEMBER 05 2021
Summary
- Mchezo huo umekuwa kipimo cha tatu kwa Yanga kabla timu hiyo haijacheza dhidi ya Rivers United ya Nigeria katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali.