Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake.

Uzi huu na huu Uwasilishaji wangu Ukikukwaza na Kukuuma njia rahisi ya kufanya ni kutafuta tu ilipo Sumu ya Panya ikoroge Unywe Ufe kabisa.

Yanga SC Bingwa wa CAFCC 2023.
 
Umezi

Ngua thread nyingi zisizo na miguu wala kichwa! Hauna kazi za kufanya? Hata kazi ya kuzoa taka hapo sokoni kwako kawe umekosa? Shame on you! Idiot
 
Ji
ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi hasa katika Mada zao hapa na uniachie wale Werevu na Wanaonielewa waendelee Kunisoma, Kuhahabarika, Kuelimika, Kunyetika Kitaarifa na Kuburudika nami vile vile.

Nimemaliza.
nga sana
 
Shabiki maandazi bhana.Sasa huyo Mayele mbona first eleven ya nchi yake anaitafuta Kwa tochi? Kuitwa tu timu ya taifa inakuwa sherehe. Halafu hao wachezaji wanaomuweka benchi hawachezi EPL wengi ni timu za kawaida za ulaya.

Mchezaji anaekaa benchi Everton, Southampton,Nantes ni Bora kuliko anaeanza Yanga na ni mfungaji Bora WA NBC.
 
M
Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake.

Uzi huu na huu Uwasilishaji wangu Ukikukwaza na Kukuuma njia rahisi ya kufanya ni kutafuta tu ilipo Sumu ya Panya ikoroge Unywe Ufe kabisa.

Yanga SC Bingwa wa CAFCC 2023.
Mbona champions league alitolewa jasho la ulimi na al hilal..?? Wtf
 
Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake.

Uzi huu na huu Uwasilishaji wangu Ukikukwaza na Kukuuma njia rahisi ya kufanya ni kutafuta tu ilipo Sumu ya Panya ikoroge Unywe Ufe kabisa.

Yanga SC Bingwa wa CAFCC 2023.
Umeongea facts
 
EPL? Kama alishindwa kucheza CAFCL ataweza shughuli za EPL?
Naheshimu uwezo wa Fiston Mayele ila tusiwe watu wa mihemko.

Level za mashindano zina athiri sana uwezo wa mchezaji. Hata CAFCL ni mbingu na ardhi na CAFCC.

Ulaya ni pengine kaka, sema Mayele anaweza kukiwasha akisajiliwa Berkane au au US Monastriene!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Yah ni kweli vilabu kama Southampton, Brentford na hata vile vya championship anacheza vizuri tu.
 
EPL? Kama alishindwa kucheza CAFCL ataweza shughuli za EPL?
Naheshimu uwezo wa Fiston Mayele ila tusiwe watu wa mihemko.

Level za mashindano zina athiri sana uwezo wa mchezaji. Hata CAFCL ni mbingu na ardhi na CAFCC.

Ulaya ni pengine kaka, sema Mayele anaweza kukiwasha akisajiliwa Berkane au au US Monastriene!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ulaya huku huku alipocheza Demba ba? Geal Bigirimana?
 
Back
Top Bottom