Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

Tuweke unafki pembeni, kati ya Mbwana Samatta na Fiston Mayele yupi ni bora?

Sina haja ya jibu lako, jijibu mwenyewe ndani ya nafsi yako ndio utapata majibu Mayele ni nani.
Samatta mfungaji Bora WA CAF champions,mchezaji Bora WA bara la Afrika, ashachukua CAF champions ni kumvunjia heshima kumfananisha na huyo mchezaji wenu.

Nyinyi mchezaji wenu ni Bora kwenye mashindano madogo hivyo mna assume atakuwa Bora hata kwenye ligi Bora au mashindano makubwa ingawa inaweza ikawa kweli Ila ni ushabiki maandazi kumuona ni Bora kuliko waliothibitisha ubora kwenye ligi Bora au mashindano makubwa.
 
Back
Top Bottom