Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

kiwango chake zaidi au uzuri ni kwenye counter tu, nyaja zingine ni zakawaida tu. wimbo wa kumuimbo umekuwa maarufu, nahii ni mafanikio yake tu.
 
EPL? Kama alishindwa kucheza CAFCL ataweza shughuli za EPL?
Naheshimu uwezo wa Fiston Mayele ila tusiwe watu wa mihemko.

Level za mashindano zina athiri sana uwezo wa mchezaji. Hata CAFCL ni mbingu na ardhi na CAFCC.

Ulaya ni pengine kaka, sema Mayele anaweza kukiwasha akisajiliwa Berkane au au US Monastriene!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Tuweke unafki pembeni, kati ya Mbwana Samatta na Fiston Mayele yupi ni bora?

Sina haja ya jibu lako, jijibu mwenyewe ndani ya nafsi yako ndio utapata majibu Mayele ni nani.
 
Tuweke unafki pembeni, kati ya Mbwana Samatta na Fiston Mayele yupi ni bora?

Sina haja ya jibu lako, jijibu mwenyewe ndani ya nafsi yako ndio utapata majibu Mayele ni nani.
Mmelewa eti? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa akili zako unamuona fiston ni Haalland mtupu.

Samatta ni bora kuliko Mayele full stop!



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huyu GENTAMYCINE na kupigwa ban kwake ni kawaida sana sawa na Kanoute kupigwa red card (umeme)


1684472286273.png
 
Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake.

Uzi huu na huu Uwasilishaji wangu Ukikukwaza na Kukuuma njia rahisi ya kufanya ni kutafuta tu ilipo Sumu ya Panya ikoroge Unywe Ufe kabisa.

Yanga SC Bingwa wa CAFCC 2023.
Ila hawezi cheza La Liga.
 
Tatizo la huyu ni kuwa na maneno machafu yasiyo mfano, mbaya zaidi anahusisha mpaka wazazi, acha tu ale ban za kutosha kwakweli.
 
Shabiki maandazi bhana.Sasa huyo Mayele mbona first eleven ya nchi yake anaitafuta Kwa tochi? Kuitwa tu timu ya taifa inakuwa sherehe. Halafu hao wachezaji wanaomuweka benchi hawachezi EPL wengi ni timu za kawaida za ulaya.

Mchezaji anaekaa benchi Everton, Southampton,Nantes ni Bora kuliko anaeanza Yanga na ni mfungaji Bora WA NBC.
Kama samata vile alichez mpaka aston villa
Wwza kuhusu mayele chelsea pangemshinda au
 
Samatta anakwambia ile intensity ya zile dakika 66 alizocheza game yake ya kwanza pale AstonVila, ni sawa na mechi 4 za dakika 90 kule Belgium. EPL is another level guys, tusiichukulie easy kabisa.
 
Yes ni kweli, kwa kuwa zama hizi style za mpira za madaha na speed za konono hakuna….kwa speed,sharpness, positioning yake anaweza kucheza pale EPL kuliko yule straiker wetu konokono…
 
Back
Top Bottom