GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ngua thread nyingi zisizo na miguu wala kichwa! Hauna kazi za kufanya? Hata kazi ya kuzoa taka hapo sokoni kwako kawe umekosa? Shame on you! IdiotNafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake.
Uzi huu na huu Uwasilishaji wangu Ukikukwaza na Kukuuma njia rahisi ya kufanya ni kutafuta tu ilipo Sumu ya Panya ikoroge Unywe Ufe kabisa.
Yanga SC Bingwa wa CAFCC 2023.
nga sanaANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi hasa katika Mada zao hapa na uniachie wale Werevu na Wanaonielewa waendelee Kunisoma, Kuhahabarika, Kuelimika, Kunyetika Kitaarifa na Kuburudika nami vile vile.
Nimemaliza.
Ichaa tena schizophreniaNipanulie Nikuweke ili niwe busy utakavyo.
Mzee wa pumba hivi lazima ufungue nyuzi daily?Kuliko zile 'unazonyunyuziwa' Kibaiolojia?
Mbona champions league alitolewa jasho la ulimi na al hilal..?? WtfNafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake.
Uzi huu na huu Uwasilishaji wangu Ukikukwaza na Kukuuma njia rahisi ya kufanya ni kutafuta tu ilipo Sumu ya Panya ikoroge Unywe Ufe kabisa.
Yanga SC Bingwa wa CAFCC 2023.
Umeongea factsNafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake.
Uzi huu na huu Uwasilishaji wangu Ukikukwaza na Kukuuma njia rahisi ya kufanya ni kutafuta tu ilipo Sumu ya Panya ikoroge Unywe Ufe kabisa.
Yanga SC Bingwa wa CAFCC 2023.
Shabiki maandazi lazima tukurekebishe Kwa pumba zako.You're a damn Fool.
Sasa ww kiaz ynamtishavhuna kila anahua kuwa ww kipa katoka.Na Mzee wa Upumbavu hivi ni lazima kila Siku ( Daily ) Ukazwe tu? Huchoki / Hauchoki?
Nasubiri jibu.
Ulaya huku huku alipocheza Demba ba? Geal Bigirimana?EPL? Kama alishindwa kucheza CAFCL ataweza shughuli za EPL?
Naheshimu uwezo wa Fiston Mayele ila tusiwe watu wa mihemko.
Level za mashindano zina athiri sana uwezo wa mchezaji. Hata CAFCL ni mbingu na ardhi na CAFCC.
Ulaya ni pengine kaka, sema Mayele anaweza kukiwasha akisajiliwa Berkane au au US Monastriene!
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app