Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

kiwango chake zaidi au uzuri ni kwenye counter tu, nyaja zingine ni zakawaida tu. wimbo wa kumuimbo umekuwa maarufu, nahii ni mafanikio yake tu.
 
Tuweke unafki pembeni, kati ya Mbwana Samatta na Fiston Mayele yupi ni bora?

Sina haja ya jibu lako, jijibu mwenyewe ndani ya nafsi yako ndio utapata majibu Mayele ni nani.
 
Tuweke unafki pembeni, kati ya Mbwana Samatta na Fiston Mayele yupi ni bora?

Sina haja ya jibu lako, jijibu mwenyewe ndani ya nafsi yako ndio utapata majibu Mayele ni nani.
Mmelewa eti? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa akili zako unamuona fiston ni Haalland mtupu.

Samatta ni bora kuliko Mayele full stop!



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ila hawezi cheza La Liga.
 
Tatizo la huyu ni kuwa na maneno machafu yasiyo mfano, mbaya zaidi anahusisha mpaka wazazi, acha tu ale ban za kutosha kwakweli.
 
Kama samata vile alichez mpaka aston villa
Wwza kuhusu mayele chelsea pangemshinda au
 
Samatta anakwambia ile intensity ya zile dakika 66 alizocheza game yake ya kwanza pale AstonVila, ni sawa na mechi 4 za dakika 90 kule Belgium. EPL is another level guys, tusiichukulie easy kabisa.
 
Yes ni kweli, kwa kuwa zama hizi style za mpira za madaha na speed za konono hakuna….kwa speed,sharpness, positioning yake anaweza kucheza pale EPL kuliko yule straiker wetu konokono…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…