Kumfananisha Samatta na huyo mchezaji wenu ni upuuzi. Samatta ashakuwa mfungaji Bora WA CAF champions , Ashakuwa mchezaji Bora WA bara la Afrika Kwa wachezaji wanaocheza barani Afrika, ashachukua CAF champions .
Samatta mfungaji Bora WA CAF champions,mchezaji Bora WA bara la Afrika, ashachukua CAF champions ni kumvunjia heshima kumfananisha na huyo mchezaji wenu.
Nyinyi mchezaji wenu ni Bora kwenye mashindano madogo hivyo mna assume atakuwa Bora hata kwenye ligi Bora au mashindano makubwa ingawa inaweza ikawa kweli Ila ni ushabiki maandazi kumuona ni Bora kuliko waliothibitisha ubora kwenye ligi Bora au mashindano makubwa.