Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Baada kumaliza kuiangalia mechi ya kimataifa Kati ya Orlando pirates vs Simba sports club pale kwa mkapa na mechi kuisha kwa ushindi DHAIFU wa goli moja Tena la PENALTY .....huu nauita ushindi DHAIFU kwa sababu ni goli ambalo sio la kiufundi but ni Kama zawadi ya bila kuitolea jasho ........
Yafuatayo ni Mambo niliyoyaona Jana
1. Simba imekosa washambuliaji wa kuweza kuamua matokeo... type ya MAYELE au au CR 7
2. Simba kwa level iliyofikia iachane wachezaji wazee....kina kagere, mzee Bocco
3.binafsi naona MAYELE angewachezea Simba Ange score goali 3 kwa kikosi kile cha Orlando pirates
Je, mfano MAYELE angechezea SIMBA Jana unadhani angefunga goli ngapi?
Note: ushindi wa penalty ....sio ushindi wa kiume