Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

washabiki wa simba wana hasira kweli kweli na matokeo ya mechi ya orlando pirates, walidhani watawafunga 5 bila, lawama zao ni kwa wananchi
Bado wasubiri Kama watachomoka kule bonden
 
Na ndo Maana hakucheza . Maana haya nimashindano ya wanaume. Mama na Watoto wako kwenye ligi wanaendelea na mashindano ya ligi.
Mi nadhan kolo hamna uwezo wa kisajiri wachezaji wa class za juu

Okwi
Morisson
Walitokea JANGWANI kwanza
 
huyo aucho gari la mkaa tripu moja shamba tripu garage
Takwimu zinaongea kuliko kelele

Huyu ndo mpish wa pasi
FB_IMG_16430177118015505.jpg
 
Mashindano haya Mayele ni kama nesi tu. Haya mashindano ni ya madaktari....

Akachunge ng'ombe aache wanaume wapambane kiume....
Wanaume tunawaona wanashinda nje ndani wakiwa na safu bora kabisa ya ushambuliaji wakiongozwa na washambuliaji hatari kina kibu denis na mugalu bila kumsahau straika matata bwana john boko, uku safu ya ulinzi ikiwa na mabeki wa viwango vya juu wakina wawa,onyango na inonga ni safu ngumu kabisa kuipita ndo maana imeruusu goli chache kabisa ndani na ugenini🤣🤣🤣🤣
 
Akiwa na utopoloni mechi za kimataifa alishafunga goli ngp?

Simba ni team work.
Sio timu ya mchezaji mmoja.
 
Wanaume tunawaona wanashinda nje ndani wakiwa na safu bora kabisa ya ushambuliaji wakiongozwa na washambuliaji hatari kina kibu denis na mugalu bila kumsahau straika matata bwana john boko, uku safu ya ulinzi ikiwa na mabeki wa viwango vya juu wakina wawa,onyango na inonga ni safu ngumu kabisa kuipita ndo maana imeruusu goli chache kabisa ndani na ugenini🤣🤣🤣🤣
Yeah. Kina mama wanapigwa nje ndani...
 
Wanaume tunawaona wanashinda nje ndani wakiwa na safu bora kabisa ya ushambuliaji wakiongozwa na washambuliaji hatari kina kibu denis na mugalu bila kumsahau straika matata bwana john boko, uku safu ya ulinzi ikiwa na mabeki wa viwango vya juu wakina wawa,onyango na inonga ni safu ngumu kabisa kuipita ndo maana imeruusu goli chache kabisa ndani na ugenini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Takwimu zinaongea mkuu

Eng hersi mechi 1 ........goal 1

Capt Bocco mech 18 .......goal 0

Boko hajawahi hata kufunga offside [emoji23][emoji23]
 
Kwanza mlisema simba atafungwa,
Sasa hivi mnasema kimoja hakitoshi hii nchi hii [emoji119]

Anashindiliwa pirates ,kichefuchefu anapata utopolo....
Maajabu hayaishi

Kapoooombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....
Show me the waaaaaaaayyyyyy
Anawainua wanasimba uwanjaniiiiiiiiiii
Anawainua mashabiki elfu sitini hapa lupaso
Nani kasema simba haendi nusuuuuuuuu?
Uwanja unazizimaaaaaaaaaaaaa.......

Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeee....
Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeeeeeee......
Heshma ya Taifa la Tanzania ipo mabegani kwa wana Lunyasi........
Ukinuna uwe na sababuuuuuuuuuu
Simba inaibeba Nchi na wananchi wakeeeeeeee

Aghaaaaa aghaaaaa aghaaaaaaa

Hii ndio siri ya amaniiiiiiii na furahaaaaaaa
Simba sports clubbbbbbbbb
Simba sports clubbbbbbbbbbbb.............

Nani anatesekaaaaaaaaaaaaaaaa.......

This isssssssssssss SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA........

Pole wewe unayepata sononeko la moyo
Njoo simba raha zipo hukuuuuuuuuuu

Mtangazaji wa jana aliua sana

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom