Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nadhan kolo hamna uwezo wa kisajiri wachezaji wa class za juuNa ndo Maana hakucheza . Maana haya nimashindano ya wanaume. Mama na Watoto wako kwenye ligi wanaendelea na mashindano ya ligi.
thubutuSubiri msimu ujao ..... tunawaletea kombe la Clabu bingwa.......siyo shirikisho
injury prone hatusumbui
Wanaume tunawaona wanashinda nje ndani wakiwa na safu bora kabisa ya ushambuliaji wakiongozwa na washambuliaji hatari kina kibu denis na mugalu bila kumsahau straika matata bwana john boko, uku safu ya ulinzi ikiwa na mabeki wa viwango vya juu wakina wawa,onyango na inonga ni safu ngumu kabisa kuipita ndo maana imeruusu goli chache kabisa ndani na ugenini🤣🤣🤣🤣Mashindano haya Mayele ni kama nesi tu. Haya mashindano ni ya madaktari....
Akachunge ng'ombe aache wanaume wapambane kiume....
Yeah. Kina mama wanapigwa nje ndani...Wanaume tunawaona wanashinda nje ndani wakiwa na safu bora kabisa ya ushambuliaji wakiongozwa na washambuliaji hatari kina kibu denis na mugalu bila kumsahau straika matata bwana john boko, uku safu ya ulinzi ikiwa na mabeki wa viwango vya juu wakina wawa,onyango na inonga ni safu ngumu kabisa kuipita ndo maana imeruusu goli chache kabisa ndani na ugenini🤣🤣🤣🤣
ukishashiba ugali kwa shemeji yako,unakuja kuisema Simba
Takwimu zinaongea mkuuWanaume tunawaona wanashinda nje ndani wakiwa na safu bora kabisa ya ushambuliaji wakiongozwa na washambuliaji hatari kina kibu denis na mugalu bila kumsahau straika matata bwana john boko, uku safu ya ulinzi ikiwa na mabeki wa viwango vya juu wakina wawa,onyango na inonga ni safu ngumu kabisa kuipita ndo maana imeruusu goli chache kabisa ndani na ugenini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa waliochezeshwa kwata na coastal union na polisi eti wakuwasifia mikia bhnaYanga inawachezaji wa kucheza ligi ya mbuzi,kimataifa ni Simba tu.
Huyo bocco &kagere na huo uzee wao lkn hiyo takataka yenu ya mapele haiwezi kufikia mambo waliyofanya hawa jamaa. Kagere misimu 4 nyuma kapiga goli ngapi ligi kuu bara uje ufananishe na mayele huyo ambae ni jogooo la shambaMayele = Bocco+Mugalu+Kagere
Aucho=Mkude+Mzamiru+Nyoni+Kanoute+Bwalya