Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

Wabunge wa CCM wana tofauti gani na kenge? Kusifiwa na kenge kumbe siku hizi ni deal?
Mi simo ......mkuu

Utakuwa unachuki binafsi na chama chetu cha taifa
 
Yaani ukiwa shabiki wa Yanga nafikir nakichwani zinaruka kidogo.
Yanga si alikuwa kwenye haya mashindano nini kilimshinda
Yanga kilicho wakost ni kuwa walikutana na mashindano haya bila ya kuwa na proffesinal player
 
Yanga kilicho wakost ni kuwa walikutana na mashindano haya bila ya kuwa na proffesinal player
Bado sio sababu ya msingi ni udhaifu wa uongozi wao kwani mashindano yanajulikana mapema .
Mie Simba hata hapo alipofikia bado nampongeza msimu huu kikosi chake hakikua bora kama cha mwaka jana
 
Alishindwa kutetema kwa Geita ndio iwe kwa orlando?
tena kombe la FA la Azam
watoto wa Geita walimbana hasa, sasa ule nao ni ushindi au ni Penati Simba akipata Penati sio ushindi
 
washabiki wa simba wana hasira kweli kweli na matokeo ya mechi ya orlando pirates, walidhani watawafunga 5 bila, lawama zao ni kwa wananchi
 
Bado sio sababu ya msingi ni udhaifu wa uongozi wao kwani mashindano yanajulikana mapema .
Mie Simba hata hapo alipofikia bado nampongeza msimu huu kikosi chake hakikua bora kama cha mwaka jana
Hapana mkuu...naona YANGA walicheleweshewa barua za wachezaji makusudi
 
tena kombe la FA la Azam
watoto wa Geita walimbana hasa, sasa ule nao ni ushindi au ni Penati Simba akipata Penati sio ushindi
Tofauti kabisa mkuu......Simba kapata ushindi laini .....sababu penalty imepatkan mapema kuliko ushindi wa YANGA uliopatkana at the last angle of elevation
 
Back
Top Bottom