Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sawa kabisa.....Kwa sasa ukisikia sisi Utopolo tukisema hatukuwa na professional prayers ujiongeze na utambue tunamaanisha mitetemo MAYELEEE
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo hicho walichokuwa wanakibutua kilikuwa ni kitu gani ikiwa walikuwa hawachezi mpira?
Kama Geita walikuwa hawachezi mpira basi Yanga ndio walikuwa nao muda wote na Geita walikuwa nacheza butua.
Mitandao imerahisisha sana uchambuzi wa soka.
Ila basi tu, ubunge ni kazi. Ila ni bora tu wangefuta neno Mheshimiwa likabaki jina mbunge pekee.Wabunge ni viongoz wetu mkuu
Umemaliza hakuna swali hapa. Aendelee kutetemesha maziwaMashindano haya Mayele ni kama nesi tu. Haya mashindano ni ya madaktari....
Akachunge ng'ombe aache wanaume wapambane kiume....
Mchezaji ligi hii ya bongo hajawah kufunga hat trick ambayo ipo Na akina ruvu, coastal halaf Mtu Yupo robo finally afunge Goli Tatu ebu tuwe serious kidogo BasiBaada kumaliza kuiangalia mechi ya kimataifa Kati ya Orlando pirates vs Simba sports club pale kwa mkapa na mechi kuisha kwa ushindi DHAIFU wa goli moja Tena la PENALTY .....huu nauita ushindi DHAIFU kwa sababu ni goli ambalo sio la kiufundi but ni Kama zawadi ya bila kuitolea jasho ........
Yafuatayo ni Mambo niliyoyaona Jana
1. Simba imekosa washambuliaji wa kuweza kuamua matokeo... type ya MAYELE au au CR 7
2. Simba kwa level iliyofikia iachane wachezaji wazee....kina kagere, mzee Bocco
3.binafsi naona MAYELE angewachezea Simba Ange score goali 3 kwa kikosi kile cha Orlando pirates
Je, mfano MAYELE angechezea SIMBA Jana unadhani angefunga goli ngapi?
Note: ushindi wa penalty ....sio ushindi wa kiume
View attachment 2191731