Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Jiheshimu ndugu. Umtu mzima acha kupost vitu vya kitotoTakwimu hazidanganyiView attachment 2192295
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiheshimu ndugu. Umtu mzima acha kupost vitu vya kitotoTakwimu hazidanganyiView attachment 2192295
Onyango ndo alimficha mayele kama mchumba tu getoniHilo swali nadhan aulizwe babu onyango.....aliyelala Hadi kutema ulimi nje
Mkuu.....jibu lako lipo hapa [emoji116][emoji116][emoji116]Mwili pia unachoka na nyakati zinabadilika kila siku huwezi kupata wewe tu. Acha kina mapele nao wapate mwaka mmoja. Sasa kwa taarifa yako mapele ni sawa tu na molinga
4yrs unabeba ww tu sio mchezo tena karne ya 21Mkuu.....jibu lako lipo hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
nyakati zinabadilika kila siku huwezi kupata wewe tu.
Nadhani umesha prove kuwa .....now ushindan umekuw mkubwa....kwa pumzi ya kina MK na mzee Bocco
Sasa huo utani mkuu wa kichaka na msitu mm.nakukimbia siwez shadadia mambo ya hovyo kwa kweliKwan Bocco amefunga goli gan ligue toka ianze[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabunge wanajua mpira au hebu tumia ubongo mkuuMkuu..... MAYELE aheshimiwe TAFADHARI......ukiona Hadi wabunge wanamzungumizia .....usichukulie poa
Kama unaelewa hilo kaa kimya usilete ushabiki maandaziHapna mkuu.....Simba naiheshimu Sana .....coz ndio at least inaifanya Tanzania ijulikane ki soccer
Mwenye utani ni captenfantastik mech 18 goli 1Sasa ww unafananisha mechi na utani.
BOKONdo yupi huyo mkuu
Mashindano haya Mayele ni kama nesi tu. Haya mashindano ni ya madaktari....
Akachunge ng'ombe aache wanaume wapambane kiume....