Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

Mwili pia unachoka na nyakati zinabadilika kila siku huwezi kupata wewe tu. Acha kina mapele nao wapate mwaka mmoja. Sasa kwa taarifa yako mapele ni sawa tu na molinga
Mkuu.....jibu lako lipo hapa [emoji116][emoji116][emoji116]

nyakati zinabadilika kila siku huwezi kupata wewe tu.

Nadhani umesha prove kuwa .....now ushindan umekuw mkubwa....kwa pumzi ya kina MK na mzee Bocco
 
4yrs unabeba ww tu sio mchezo tena karne ya 21
 
AC vital last season anapigwa 5 na simba hiihii huyo mayele alitetema mara ngapi?

Usiichukulie simba kizembe
Hapna mkuu.....Simba naiheshimu Sana .....coz ndio at least inaifanya Tanzania ijulikane ki soccer
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabunge wanajua mpira au hebu tumia ubongo mkuu
Uongoz wa kisiasa ni status tu mkuu.... that's y George weah .....alikuwa mwanasoka but saiz ni raisi
 
Back
Top Bottom