Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kuwafunga Ihefu unadhani ni sawa na kuwafunga Al Ahly? Au unajisahaulisha alicheza na Riverplate akaishia kuwekwa mwiko nyuma nyumbani na ugenini?Kwenye ligi ana goli 11,upo hapo nyonyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwafunga Ihefu unadhani ni sawa na kuwafunga Al Ahly? Au unajisahaulisha alicheza na Riverplate akaishia kuwekwa mwiko nyuma nyumbani na ugenini?Kwenye ligi ana goli 11,upo hapo nyonyo
Na wenye maisha magumu yemeletwa na ccm?Aman ya Tz unayojivunia
Umeme
Barabara
Madaraja
Ajira
Maji
Ndege
Na maisha mazuri yameletwa na CCM
Makolo mna hasira baada ya kufunga goli moja la penalty [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujui kitu usijidhalilishe kwa nyuzj zako nyingi zisizokuwa na weledi zaidi ya chuki kwa Simba na ushabiki oya oya wa Yanga. Hata wana Yanga wenye weledi wa mpira wanakudharau tu.
Ni lini Manyele amefunga hatrick hata na hivi vitimu vya NBC tu kavishindwa[emoji1787][emoji1787]Baada kumaliza kuiangalia mechi ya kimataifa Kati ya Orlando pirates vs Simba sports club pale kwa mkapa na mechi kuisha kwa ushindi DHAIFU wa goli moja Tena la PENALTY .....huu nauita ushindi DHAIFU kwa sababu ni goli ambalo sio la kiufundi but ni Kama zawadi ya bila kuitolea jasho ........
Yafuatayo ni Mambo niliyoyaona Jana
1. Simba imekosa washambuliaji wa kuweza kuamua matokeo... type ya MAYELE au au CR 7
2. Simba kwa level iliyofikia iachane wachezaji wazee....kina kagere, mzee Bocco
3.binafsi naona MAYELE angewachezea Simba Ange score goali 3 kwa kikosi kile cha Orlando pirates
Je, mfano MAYELE angechezea SIMBA Jana unadhani angefunga goli ngapi?
Note: ushindi wa penalty ....sio ushindi wa kiume
View attachment 2191731
Ila maisha mazuri ni ccm, kichaa kweli weweHapana mkuu.....maisha magumu yanaletwa na
Uvivu
Kukosa elimu
Kupenda chini
Mkuu hao utopolo walimfunga goli ngapi Rivers unitedMakolo mna hasira baada ya kufunga goli moja la penalty [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauri.. hasira zenu mpelekeeni Pablo .....apunguze kikosi cha wazee
Yacouba, ntibazonkiza na dirgui diara sio professional player?Hatukuwa na professional prayers mkuu...
Kwa hiyo kipimo cha akili yako ni wabunge, wakishasema jambo moja kwa moja ubongo wako unapitisha kuwa sahihi?Mkuu..... MAYELE aheshimiwe TAFADHARI......ukiona Hadi wabunge wanamzungumizia .....usichukulie poa
Ni kweli naunga mkono hakukuwa na professional prayers.Hatukuwa na professional prayers mkuu...
Kwa sasa ukisikia sisi Utopolo tukisema hatukuwa na professional prayers ujiongeze na utambue tunamaanisha mitetemo MAYELEEEYacouba, ntibazonkiza na dirgui diara sio professional player?
Kwa hiyo hicho walichokuwa wanakibutua kilikuwa ni kitu gani ikiwa walikuwa hawachezi mpira?Mkuu .....Geita walikuwa hawachez mpira standards.....but walikua Wana butua .....so ukiwa na wachezaji class ya Mayele .....hawajazoea hii aina ya mipira
Ile mechi ya Simba na AS Vita ilikuwa laini sio.Mayele kazoea mech ngumu za kiume...