Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waweke sokoni afu bei zitaongea.😂😂😂 huyo mapele angekua na kiwango mnachokitengeneza kwenye fikra zenu asingekua hapo utopwinyo. Wakawaida ile ordinary kabsaMkuu.....ko chama unamfananisha na Mayele kweli......
Mayele ni class za kina CR 7. wazee wa kufosi matokeo
Hahahah kagere kaongoza na kachukua kiatu mara ngapi au bocco kwa idadi ambayo mapele hataifikiaMayele anaongoza ligi yenye ushindan mkubwa east and central Africa
Eti mapele ni class ya CR7 labda CR wa chuo cha utumishi huko katavi maana ni jogoo la shambaMkuu.....ko chama unamfananisha na Mayele kweli......
Mayele ni class za kina CR 7. wazee wa kufosi matokeo
Simba wanamuweka beki ndo acheze namba 9, wanatarajia nn? Mugalu sio forward [emoji28][emoji28][emoji28]Baada kumaliza kuiangalia mechi ya kimataifa Kati ya Orlando pirates vs Simba sports club pale kwa mkapa na mechi kuisha kwa ushindi DHAIFU wa goli moja Tena la PENALTY .....huu nauita ushindi DHAIFU kwa sababu ni goli ambalo sio la kiufundi but ni Kama zawadi ya bila kuitolea jasho ........
Yafuatayo ni Mambo niliyoyaona Jana
1. Simba imekosa washambuliaji wa kuweza kuamua matokeo... type ya MAYELE au au CR 7
2. Simba kwa level iliyofikia iachane wachezaji wazee....kina kagere, mzee Bocco
3.binafsi naona MAYELE angewachezea Simba Ange score goali 3 kwa kikosi kile cha Orlando pirates
Je, mfano MAYELE angechezea SIMBA Jana unadhani angefunga goli ngapi?
Note: ushindi wa penalty ....sio ushindi wa kiume
View attachment 2191731
Mkuu ....now Tz Ni daraja la kuvukia kwenda abroad kwa wachezaji wa mpiraWaweke sokoni afu bei zitaongea.[emoji23][emoji23][emoji23] huyo mapele angekua na kiwango mnachokitengeneza kwenye fikra zenu asingekua hapo utopwinyo. Wakawaida ile ordinary kabsa
Ushindan kipindi hicho ulikuwa zero.....that's y walitrend SanaHahahah kagere kaongoza na kachukua kiatu mara ngapi au bocco kwa idadi ambayo mapele hataifikia
Hiyo miaka 4 nani utopolo kachukua ufungaji bora au kombe la ligi kuu. Acha kuruka ruka mzee baba huyo mayele ordinary kabsaaaaaaaa. Ndio maana mkamchukua buuureeeee. 🤣🤣🤣🤣Ushindan kipindi hicho ulikuwa zero.....that's y walitrend Sana
But now ligi ni nzito .....timu zina ushindan Sana that's y wachezaji hao wanashndwa ku trend .....
Mfano
John Bocco ndiye aliekuwa mfungaji Bora but now mzunguko wa pil Hana goli hata moja. Hata la offside kashindwa kufunga[emoji23][emoji23][emoji23]
Kagere kidg anajikongoja ana goli sawa na beki za YANGA
Mnaongea sana na huyu Manywele wenu. Nyie si mlicheza na rivers utd. ikawaje?Mkuu tunawaheshimu Sana .....but inawezekana waliweza kutrend Sana kutokana na ushindan kuwa duni Sana compared to now .....timu znacheza kiushindan mno .......kumbuka mbeya city, kagera
Walivyo wapelekea Moto
Kumbuka hata legend PELE Kuna watu Wana m criticize kuwa sawa alikuwa mfungaji mahiri Sana but [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] enzi zake .....hakukuwa na Sheria za offside......so inawezekana 45% ya magoli yake yalikuwa ni offsides
mgonjwa huyoDr Aucho ni [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Mayele asilimia kubwa ndiye anayeamua matokeo ya yanga ......that's y tuna mclassify Kama ni mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo mda wowoteEti mapele ni class ya CR7 labda CR wa chuo cha utumishi huko katavi maana ni jogoo la shamba
Mayele asilimia kubwa ndiye anayeamua matokeo ya yanga ......that's y tuna mclassify Kama ni mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo mda wowote
Kama kina CR7 ......messi (zaman), mbappe
Acha kumfananisha messi, CR7 mbappe na hiyo 🚮🚮Mayele asilimia kubwa ndiye anayeamua matokeo ya yanga ......that's y tuna mclassify Kama ni mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo mda wowote
Kama kina CR7 ......messi (zaman), mbappe
Yaaah Hilo sijapinga mkuu.....kagere na Bocco walikuwa Bora Sana.......Ila walikuwa Bora mbele ya wabovuHiyo miaka 4 nani utopolo kachukua ufungaji bora au kombe la ligi kuu. Acha kuruka ruka mzee baba huyo mayele ordinary kabsaaaaaaaa. Ndio maana mkamchukua buuureeeee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]