The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Yaani ukiwa shabiki wa Yanga nafikir nakichwani zinaruka kidogo.
Yanga si alikuwa kwenye haya mashindano nini kilimshinda
Yanga si alikuwa kwenye haya mashindano nini kilimshinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sio sababu ya msingi ni udhaifu wa uongozi wao kwani mashindano yanajulikana mapema .Yanga kilicho wakost ni kuwa walikutana na mashindano haya bila ya kuwa na proffesinal player
tena kombe la FA la AzamAlishindwa kutetema kwa Geita ndio iwe kwa orlando?
Aisee! Unachekesha. Mechi za wanaume ziko huku CAF . Huko kwingine ni mechi za watoto.Mayele kazoea mech ngumu za kiume...
Uto mnapenda ku force kujilinganisha na Simba. Hatuko level moja,tafuteni wa kumzoeaHapana mkuu.....ebu tuseme ukweli Kuhusu Mayele na mech ya jana
tena kombe la FA la AzamAlishindwa kutetema kwa Geita ndio iwe kwa orlando?
Na ndo Maana hakucheza . Maana haya nimashindano ya wanaume. Mama na Watoto wako kwenye ligi wanaendelea na mashindano ya ligi.Mkuu nadhani uliona mechi ya Jana.....pia nafasi ya Mayele
huyo aucho gari la mkaa tripu moja shamba tripu garageMayele = Bocco+Mugalu+Kagere
Aucho=Mkude+Mzamiru+Nyoni+Kanoute+Bwalya
Hapana mkuu...naona YANGA walicheleweshewa barua za wachezaji makusudiBado sio sababu ya msingi ni udhaifu wa uongozi wao kwani mashindano yanajulikana mapema .
Mie Simba hata hapo alipofikia bado nampongeza msimu huu kikosi chake hakikua bora kama cha mwaka jana
Tofauti kabisa mkuu......Simba kapata ushindi laini .....sababu penalty imepatkan mapema kuliko ushindi wa YANGA uliopatkana at the last angle of elevationtena kombe la FA la Azam
watoto wa Geita walimbana hasa, sasa ule nao ni ushindi au ni Penati Simba akipata Penati sio ushindi