Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

Kwa hiyo kipimo cha akili yako ni wabunge, wakishasema jambo moja kwa moja ubongo wako unapitisha kuwa sahihi?

Hebu wakati mwingine tupunguze ujinga. Hata robo ya akili zifanye kazi.
Wabunge ni viongoz wetu mkuu
 
Kwa sasa ukisikia sisi Utopolo tukisema hatukuwa na professional prayers ujiongeze na utambue tunamaanisha mitetemo MAYELEEE
Uko sawa kabisa.....

Yanga ikichezesha wachezaji hata 8..pamoja na Mayele inaweza kuifunga Simba ( full ) kikosi
 
Kwa hiyo hicho walichokuwa wanakibutua kilikuwa ni kitu gani ikiwa walikuwa hawachezi mpira?

Kama Geita walikuwa hawachezi mpira basi Yanga ndio walikuwa nao muda wote na Geita walikuwa nacheza butua.

Mitandao imerahisisha sana uchambuzi wa soka.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila basi tu, ubunge ni kazi. Ila ni bora tu wangefuta neno Mheshimiwa likabaki jina mbunge pekee.
Iko sawa.....muheshimiwa kwa sababu amechaguliwa na ameaminiwa na watu wengi
 
Mashindano haya Mayele ni kama nesi tu. Haya mashindano ni ya madaktari....

Akachunge ng'ombe aache wanaume wapambane kiume....
Umemaliza hakuna swali hapa. Aendelee kutetemesha maziwa
 
Mchezaji ligi hii ya bongo hajawah kufunga hat trick ambayo ipo Na akina ruvu, coastal halaf Mtu Yupo robo finally afunge Goli Tatu ebu tuwe serious kidogo Basi
 
Mchezaji ligi hii ya bongo hajawah kufunga hat trick ambayo ipo Na akina ruvu, coastal halaf Mtu Yupo robo finally afunge Goli Tatu ebu tuwe serious kidogo Basi
Ligi ya bongo ni kipengele mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…