Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mimi navyofahamu huwezi kuwa mshambualiji mahiri na hatari kama unafunga bao moja kila mechi halafu unategemea uje kuwa mfungaji bora.
Mchezaji kama Mayele kwa aina ya viungo wa Yanga akiwemo Aucho, Sure Boy, Fei Toto, Farid Mussa, Jesus na nk alitakiwa kila mechi amekosa kosa sana bao 2.
Mayele alitakiwa kufunga hata hatrick kwenye mechi lakini ameishia kufunga mabao ya kichawi tu.
Hivi George Mpole kwa timu gani hadi aje kuwa na mabao 17 Leo amshinde Mayele kama sio uzembe wa mkongo huyo.
Wenzake akina Bocco, Kagere, Mugalu walikuwa wakizifumania timu wanajiondokea na mabao 2 had 3 kwa mechi moja.
Sasa wewe Mayele utoke kwenu Congo huko unakuja kufunga kigoli moja halafu unalalamika kuwa wachezaji wenzako wamekunyima ushirikiano.
Nawashauri Yanga kwa mchezaji kama Mayele ambaye hana uwezo wa kufunga mabao mengi katika mchezo mmoja jiandaeni kuaga michuano ya kimataifa.
Mark my words