Mayele kakosa kiatu kwa uzembe wake mwenyewe

Mayele kakosa kiatu kwa uzembe wake mwenyewe

Nilimsikia utetezi wake akihojiwa akilalamika kuwa mabeki wanamkamia sana

Haya baada ya siku mbili mchizi akakutana na zari la penati, mashabiki wakiwa wamejiandaa kushangilia wakastukia mpira unakuja jukwaani kimo cha ndege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mayele akiwa ndani ya 18 anakabwa na watu watatu hadi wanne muda mwingi wa mechi tena ni game zoote

Mpole hakuna anayehangaika nae ni yeye tu mpira ukimkalia sawa ana score.

Mayele ukongo wake pia umemponza wa tz wengi wakiwemo baadhi ya waamuzi walipenda sana mpole achukue kiatu hiki eti sababu tu ni mzawa..!na hilo limethibitika katika mechi nne au sita sasa ambapo magoli ya mayele yamekua yakikataliwa atini offside wakati mengi yao ukiangalia yalikua magoli halali kabisa
Kitu ambacho kwa mpole hakipo,kundi kubwa la wa tz lilitamani mpole aongoze ktk mbioza wafungaji.

Lakini kuna uzi niliwahi kuweka hapa kuwa Mayele atabaki kuwa Mayele..
Leo hii George Mpole anaongoza katika ufungaji lakini sio hatari/ tishio...

Leo hii timu yeyote na mtu yeyote akiambiwa aunde kikosi na awekewe straika wawili achague kati ya mayele na george ...unadhani nani atanyakuliwa hapo?

So Mayele si mzembe bali Mpole uzalendo umembeba kwa kiasi kikubwa
Meza panadol kwan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haha mayele amewaachia makolo kidonda cha kudumu mnahasira naye kama kawapokonya mke [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Analia yeye huko anasema wachezaji wenzake hawampi ushirikiano, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , jiji limetuliaaaa.
 
Attachments

  • 20220629_224801.jpg
    20220629_224801.jpg
    97.7 KB · Views: 2
Mm nilikuwa nawaambia watu mayele ni mchezaji wa kawaida hajafika levo za kina Kagere yaan timu yako haijafungwa mechi hata moja na imechukuwa ubingwa unashindwaje kuwa top score wakati chance ya kushinda kwenu kila mechi ni kubwa angalia Kagere hapo Simba hali sio nzuri goli 7 inamaana huyu mayele Angekuwa timu kama azam au Simba ya mwaka huu Angekuwa kama mugalu tu anagoli 1 au 3 kutetema mwaka mzima mwisho wa msimu unaangukia pua kwa wasiokuwa na akili wote watalalamikia goli la Leo kama yeye ni hatari kwanini asishinde magoli hata 19 au 20 ili kuweka utofauti na wenzake kwa yoyote anaona imemuuma mayele kukosa kiatu aende karume akamtafutie mkiambiwa huyo ni mchezaji wa kawaida muwe mnaelewa Timu mkubwa miaka 5 haitoi mfungaji bora wa ligi huo ukubwa wa Yanga uko wapi?
Simba mbovu imefikaje robo final CAF?
 
Mimi navyofahamu huwezi kuwa mshambualiji mahiri na hatari kama unafunga bao moja kila mechi halafu unategemea uje kuwa mfungaji bora.

Mchezaji kama Mayele kwa aina ya viungo wa Yanga akiwemo Aucho, Sure Boy, Fei Toto, Farid Mussa, Jesus na nk alitakiwa kila mechi amekosa kosa sana bao 2.

Mayele alitakiwa kufunga hata hatrick kwenye mechi lakini ameishia kufunga mabao ya kichawi tu.

Hivi George Mpole kwa timu gani hadi aje kuwa na mabao 17 Leo amshinde Mayele kama sio uzembe wa mkongo huyo.

Wenzake akina Bocco, Kagere, Mugalu walikuwa wakizifumania timu wanajiondokea na mabao 2 had 3 kwa mechi moja.

Sasa wewe Mayele utoke kwenu Congo huko unakuja kufunga kigoli moja halafu unalalamika kuwa wachezaji wenzako wamekunyima ushirikiano.

Nawashauri Yanga kwa mchezaji kama Mayele ambaye hana uwezo wa kufunga mabao mengi katika mchezo mmoja jiandaeni kuaga michuano ya kimataifa.

Mark my words
Nikweli watanzania kwa uroho wa kwanini naacha yote .
Yotee kabisa mnakera mnajionaga mnaweza hamuwezi kitu mnahitaji wakuwawezesha asilimia kadhaa za watu mnawapuuzia ndio wanaoweza wengi wenu vilaza , wajuaji na hamuwezi .
Wengi wanaoweza mnawanyima fulsa wanaishia kunywa pombe nakulewa tu.
Namwisho wanakufa bila heshima yeyote mnabaki hakuna lolote mnaloweza mpaka leo kunawatu hawajui kuzidisha hesabu ndogo tu au kutamka millioni mbili na laki sita na elfu ishirini na sita na miatano.
Anasema elfu kumi na mbili na mapoint .
Hamnaga ushirikiano na hamtaki kuelezewa mkabadilika.
Mayele his right .
Ikute wewe nawe wale wale tu kwanza umebahatisha post ya leo .
 
Mayele akiwa ndani ya 18 anakabwa na watu watatu hadi wanne muda mwingi wa mechi tena ni game zoote

Mpole hakuna anayehangaika nae ni yeye tu mpira ukimkalia sawa ana score.

Mayele ukongo wake pia umemponza wa tz wengi wakiwemo baadhi ya waamuzi walipenda sana mpole achukue kiatu hiki eti sababu tu ni mzawa..!na hilo limethibitika katika mechi nne au sita sasa ambapo magoli ya mayele yamekua yakikataliwa atini offside wakati mengi yao ukiangalia yalikua magoli halali kabisa
Kitu ambacho kwa mpole hakipo,kundi kubwa la wa tz lilitamani mpole aongoze ktk mbioza wafungaji.

Lakini kuna uzi niliwahi kuweka hapa kuwa Mayele atabaki kuwa Mayele..
Leo hii George Mpole anaongoza katika ufungaji lakini sio hatari/ tishio...

Leo hii timu yeyote na mtu yeyote akiambiwa aunde kikosi na awekewe straika wawili achague kati ya mayele na george ...unadhani nani atanyakuliwa hapo?

So Mayele si mzembe bali Mpole uzalendo umembeba kwa kiasi kikubwa
PumBAaa

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Nikweli watanzania kwa uroho wa kwanini naacha yote .
Yotee kabisa mnakera mnajionaga mnaweza hamuwezi kitu mnahitaji wakuwawezesha asilimia kadhaa za watu mnawapuuzia ndio wanaoweza wengi wenu vilaza , wajuaji na hamuwezi .
Wengi wanaoweza mnawanyima fulsa wanaishia kunywa pombe nakulewa tu.
Namwisho wanakufa bila heshima yeyote mnabaki hakuna lolote mnaloweza mpaka leo kunawatu hawajui kuzidisha hesabu ndogo tu au kutamka millioni mbili na laki sita na elfu ishirini na sita na miatano.
Anasema elfu kumi na mbili na mapoint .
Hamnaga ushirikiano na hamtaki kuelezewa mkabadilika.
Mayele his right .
Ikute wewe nawe wale wale tu kwanza umebahatisha post ya leo .
Mayele his right make hapo kwanza ncheke
 
Attachments

  • 20220629_224822.jpg
    20220629_224822.jpg
    44.7 KB · Views: 3
Mayele his right make hapo kwanza ncheke
Yeah his right mnajuaga kumkatisha mtu tamaa ndio maana kazi sifanyagi na watz wanajiwekea visheria vyao vya ajabu utakuta wanakukwamisha ili hali mkose wote ili uondoke tu mahali hapo na unakuta faida ni ya wote acheni ujinga nchi iendelee mh. Kasema tuache dhambi tufanye kazi ndio hii sasa mambo ya figisu figisu tuziache
 
Ngoja walimu wa kimalkia waje mie simooo 🏃🏿
 
Back
Top Bottom