Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rivers united au?Hv Ile Timu iliwafumua 3 hapo kwa Mkapa nikumbushe inaitwaje..? Kama vp mpangiwe nao tena
Mayele ni hatari sana hadi imefikia hatua wabunge makolo wanatamani apelekwe Congo vitani afie huko.Mayele anakabwa kama kawaibia mabeki wa timu pinzani Figo,kuna beki wa timu fulani ambayo mashabiki wake wana maumivu kwa sasa alionekana shujaa kwemye derby kisa tu kamzuia Mayele asifunge,uchizi!!
Hapana viatu vyake hivyo hapoKwahiyo yuko peku?
Hatar gani mtu tangu acheze soka anaishia kuwa mfungaji namba mbiliMayele ni hatari sana hadi imefikia hatua wabunge makolo wanatamani apelekwe Congo vitani afie huko.
Club yake imechukua kombe au haijachukua?Hatar gani mtu tangu acheze soka anaishia kuwa mfungaji namba mbili
Nasikia kocha mpya ni noma zitapigwa tik-taka balaa 🤣🤣🤣Hapana viatu vyake hivyo hapo
Mayele akiwa ndani ya 18 anakabwa na watu watatu hadi wanne muda mwingi wa mechi tena ni game zoote
Mpole hakuna anayehangaika nae ni yeye tu mpira ukimkalia sawa ana score.
Mayele ukongo wake pia umemponza wa tz wengi wakiwemo baadhi ya waamuzi walipenda sana mpole achukue kiatu hiki eti sababu tu ni mzawa..!na hilo limethibitika katika mechi nne au sita sasa ambapo magoli ya mayele yamekua yakikataliwa atini offside wakati mengi yao ukiangalia yalikua magoli halali kabisa
Kitu ambacho kwa mpole hakipo,kundi kubwa la wa tz lilitamani mpole aongoze ktk mbioza wafungaji.
Lakini kuna uzi niliwahi kuweka hapa kuwa Mayele atabaki kuwa Mayele..
Leo hii George Mpole anaongoza katika ufungaji lakini sio hatari/ tishio...
Leo hii timu yeyote na mtu yeyote akiambiwa aunde kikosi na awekewe straika wawili achague kati ya mayele na george ...unadhani nani atanyakuliwa hapo?
So Mayele si mzembe bali Mpole uzalendo umembeba kwa kiasi kikubwa
Uto nayo ni club?Club yake imechukua kombe au haijachukua?
Naam ila hatuna muda na watingisha maziwa na kulia lia baada ya kukosa kiatu cha dhahabuNasikia kocha mpya ni noma zitapigwa tik-taka balaa 🤣🤣🤣
Haha mayele amewaachia makolo kidonda cha kudumu mnahasira naye kama kawapokonya mke 🤣🤣🤣Naam ila hatuna muda na watingisha maziwa na kulia lia baada ya kukosa kiatu cha dhahabu
Ligi imeishaView attachment 2276909
Swala la mayele kutokua mfungaji bora liliiua la kitaifa kwa 80%,ilifikia mpaka waandishi kumpa ahadi ya pesa,marefarii na makolo nao sijui walimuhaidi nini huyu jamaa,niliangalia ile game coastal pa1 walikua washafungwa goli 2 kwa goli la feisal na chico lakini mabeki walikua tayari afunge yoyote lakini sio mayele kwa jinsi walivyokua wanamchezea deep
'Siba guvu lege-lege' by mo 😂Uto nayo ni club?
Luc eymael alishamaliza kila kitu kuhusu nyie
Mpuuzi mmoja alisikika akipayukaMimi navyofahamu huwezi kuwa mshambualiji mahiri na hatari kama unafunga bao moja kila mechi halafu unategemea uje kuwa mfungaji bora.
Mchezaji kama Mayele kwa aina ya viungo wa Yanga akiwemo Aucho, Sure Boy, Fei Toto, Farid Mussa, Jesus na nk alitakiwa kila mechi amekosa kosa sana bao 2.
Mayele alitakiwa kufunga hata hatrick kwenye mechi lakini ameishia kufunga mabao ya kichawi tu.
Hivi George Mpole kwa timu gani hadi aje kuwa na mabao 17 Leo amshinde Mayele kama sio uzembe wa mkongo huyo.
Wenzake akina Bocco, Kagere, Mugalu walikuwa wakizifumania timu wanajiondokea na mabao 2 had 3 kwa mechi moja.
Sasa wewe Mayele utoke kwenu Congo huko unakuja kufunga kigoli moja halafu unalalamika kuwa wachezaji wenzako wamekunyima ushirikiano.
Nawashauri Yanga kwa mchezaji kama Mayele ambaye hana uwezo wa kufunga mabao mengi katika mchezo mmoja jiandaeni kuaga michuano ya kimataifa.
Mark my words