Mayele kakosa kiatu kwa uzembe wake mwenyewe

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mimi navyofahamu huwezi kuwa mshambualiji mahiri na hatari kama unafunga bao moja kila mechi halafu unategemea uje kuwa mfungaji bora.

Mchezaji kama Mayele kwa aina ya viungo wa Yanga akiwemo Aucho, Sure Boy, Fei Toto, Farid Mussa, Jesus na nk alitakiwa kila mechi amekosa kosa sana bao 2.

Mayele alitakiwa kufunga hata hatrick kwenye mechi lakini ameishia kufunga mabao ya kichawi tu.

Hivi George Mpole kwa timu gani hadi aje kuwa na mabao 17 Leo amshinde Mayele kama sio uzembe wa mkongo huyo.

Wenzake akina Bocco, Kagere, Mugalu walikuwa wakizifumania timu wanajiondokea na mabao 2 had 3 kwa mechi moja.

Sasa wewe Mayele utoke kwenu Congo huko unakuja kufunga kigoli moja halafu unalalamika kuwa wachezaji wenzako wamekunyima ushirikiano.

Nawashauri Yanga kwa mchezaji kama Mayele ambaye hana uwezo wa kufunga mabao mengi katika mchezo mmoja jiandaeni kuaga michuano ya kimataifa.

Mark my words
 
Kwa hiyo mpole mpaka kawa mfungaji bora alikuwa anafunga goli ngapi kila mechi?[emoji848]
 
Ngoja waje wachunga ng'ombe wa mayele. Sijui utakimbilia shimo gani!!
 
Mmmmmh
 
hao kina kagere, bocco, mgalu msimu huu wamecheza ligi ipi?
 
Nilimsikia utetezi wake akihojiwa akilalamika kuwa mabeki wanamkamia sana

Haya baada ya siku mbili mchizi akakutana na zari la penati, mashabiki wakiwa wamejiandaa kushangilia wakastukia mpira unakuja jukwaani kimo cha ndege
mtatembea mnaongea wenyewe mwaka huu mna acha kutafta solution ya team yenu mnakomaa na yasiyo wahusu
 
hizo hizo zilizofikisha points 28 tofauti na nye wa 0.5, na kimataifa zamu hii lazima mteteme makalio
Hv Ile Timu iliwafumua 3 hapo kwa Mkapa nikumbushe inaitwaje..? Kama vp mpangiwe nao tena
 
Mayele akiwa ndani ya 18 anakabwa na watu watatu hadi wanne muda mwingi wa mechi tena ni game zoote

Mpole hakuna anayehangaika nae ni yeye tu mpira ukimkalia sawa ana score.

Mayele ukongo wake pia umemponza wa tz wengi wakiwemo baadhi ya waamuzi walipenda sana mpole achukue kiatu hiki eti sababu tu ni mzawa..!na hilo limethibitika katika mechi nne au sita sasa ambapo magoli ya mayele yamekua yakikataliwa atini offside wakati mengi yao ukiangalia yalikua magoli halali kabisa
Kitu ambacho kwa mpole hakipo,kundi kubwa la wa tz lilitamani mpole aongoze ktk mbioza wafungaji.

Lakini kuna uzi niliwahi kuweka hapa kuwa Mayele atabaki kuwa Mayele..
Leo hii George Mpole anaongoza katika ufungaji lakini sio hatari/ tishio...

Leo hii timu yeyote na mtu yeyote akiambiwa aunde kikosi na awekewe straika wawili achague kati ya mayele na george ...unadhani nani atanyakuliwa hapo?

So Mayele si mzembe bali Mpole uzalendo umembeba kwa kiasi kikubwa
 
Mimi navyofahamu huwezi kuwa mshambualiji mahiri na hatari kama unafunga bao moja kila mechi halafu unategemea uje kuwa mfungaji bora.

Mchezaji kama Mayele kwa aina ya viungo wa Yanga akiwemo Aucho, Sure Boy, Fei Toto, Farid Mussa, Jesus na nk alitakiwa kila mechi amekosa kosa sana bao 2.

Mayele alitakiwa kufunga hata hatrick kwenye mechi lakini ameishia kufunga mabao ya kichawi tu.

Hivi George Mpole kwa timu gani hadi aje kuwa na mabao 17 Leo amshinde Mayele kama sio uzembe wa mkongo huyo.

Wenzake akina Bocco, Kagere, Mugalu walikuwa wakizifumania timu wanajiondokea na mabao 2 had 3 kwa mechi moja.

Sasa wewe Mayele utoke kwenu Congo huko unakuja kufunga kigoli moja halafu unalalamika kuwa wachezaji wenzako wamekunyima ushirikiano.

Nawashauri Yanga kwa mchezaji kama Mayele ambaye hana uwezo wa kufunga mabao mengi katika mchezo mmoja jiandaeni kuaga michuano ya kimataifa.

Mark my words
Sidhani kama ulikuwa serious kuandika huu uzi. Hivi unadhani kufunga magoli ni sawa na kula asubuhi mchana na jioni? Au unadhani ni sawa na mchana na usiku??
 
👇😁😁😁
 
Back
Top Bottom