Mayele kaonewa zaidi na waamuzi this season

All in all, Tanzania tuna uhaba mkubwa wa waamuzi wenye uwezo wa kuzisimamia sheria 17 za soka kwa usahihi. Kiukweli wengi tulio nao ni majanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya mtetemo kugandishwa ndiiiiii, ndo unaona hili leo? Unakumbuka match yenu dhidi ya Geita ¼ final FA? ilikuaje?

Jiji limetulizwaaaaaa kumyaaaaah. Weraaaaaaaah.
 
Kukomesha haya malalamiko mngetumia VAR kwenye mechi zenu ili goli za mayele zisikataliwe. Magoli ni mengi sana yaliyokataliwa, sina uhakka kama ya G. Mpole yalikubalika yote. Pumba zenu hazina mashiko, tukubali goli la utata ili iweje wakati hatuna var? Mbona hamlalamiki penalty aliyopewa akabutua juu kuwa ingempa ufungaji bora?
 
Ndiyo yeye mayele mmoja analilia kiatu na nyie wengi mnalia mmekosa ubingwa tena yeye mayele ndiyo kawachana mshono ndiyo maana mnahasira naye kweri-kweri 🤣

Club inatafuta makombe na ushindi.
Je nyie mokolo mmeishinda yanga?

"Siba guvu moya" by gabacholi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya mtetemo kugandishwa ndiiiiii, ndo unaona hili leo? Unakumbuka match yenu dhidi ya Geita ¼ final FA? ilikuaje?

Jiji limetulizwaaaaaa kumyaaaaah. Weraaaaaaaah.
Mechi tunayoikumbuka ni ile tuliyowakojolea makolo kimoja tu kama bata 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uta amua wee km umeze dawa tatu kutuliza maumivu, au uwahi hospital 1 kwa 1 ukaonane na daktareee.

Mpoleeeeeeee kasimamisha jiji. Weraaaaaaaah.
 
Mechi tunayoikumbuka ni ile tuliyowakojolea makolo kimoja tu kama bata [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usisahau tulishawakojolea sanaaa, sio kimoko tyuuh hata 5, afu wachezaji tofauti tofauti, mtungoooooo.

Habari kuu, Mpoleeeeeeeeeee katuliza jiji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeye ameshakubali, nyie ni nani muendelee kuumia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uta amua wee km umeze dawa tatu kutuliza maumivu, au uwahi hospital 1 kwa 1 ukaonane na daktareee.

Mpoleeeeeeee kasimamisha jiji. Weraaaaaaaah.
Mnahasira na mayele kweri-kweri 😂
 
Masikini makolo hii ligi mmeishi kwa tabu kama mmekula nauli 🤣🤣🤣
 
Mnahasira na mayele kweri-kweri [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimeshushwaa na Mpoleeeee, yaan hapa tulipo maji yanashuka na tunayasikiliza hadi kwenye kibofu cha mkojo. Weraaaaaaaaaah.
 
Masikini makolo hii ligi mmeishi kwa tabu kama mmekula nauli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtikisa matiti ndo aliwahi stand nauli kaacha salamander tower,
Mpoleeeee kaja na nauli kapewa seat na bus likaondoka kituoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], woyooooooooooooooooooh
 
Siyo shabiki wa Yanga wala shabiki wa Simba, lakini kitendo cha line2 kukataa goli halali la mchezaji halali bila kujali ni wa Taifa gani eti sababu akifunga atamzidi Mtanzania ni mawazo hafifu Sana.
 
Sasa kinawauma nn
 
Mtikisa matiti ndo aliwahi stand nauli kaacha salamander tower,
Mpoleeeee kaja na nauli kapewa seat na bus likaondoka kituoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], woyooooooooooooooooooh
Tangu awagegede ngao ya jamii mnamchukia sana
 
Wewe ndiye mbuluka pamoja na hao UK wako.
Huna dini,ungekuwa na dini ungependa haki bila kujali uraia
Kwa tafsiri yako kwa kuoga ya ulaya hata ushoga
 
Mtikisa matiti ndo aliwahi stand nauli kaacha salamander tower,
Mpoleeeee kaja na nauli kapewa seat na bus likaondoka kituoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], woyooooooooooooooooooh
Mayele amejua kuwaliza machozi makolo hadi mnahasira naye kama amewamwagia maji ya mchele 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimeshushwaa na Mpoleeeee, yaan hapa tulipo maji yanashuka na tunayasikiliza hadi kwenye kibofu cha mkojo. Weraaaaaaaaaah.
Ndoto ya kila club ni kutwaa ubingwa?

Nani bingwa msimu huu? 🤣🤣🤣
 
Mayele amejua kuwaliza machozi makolo hadi mnahasira naye kama amewamwagia maji ya mchele 😂
Simba walikuwepo akina OKWI, SUNZU, SIRENGO na Tambwe ambao kwa mabao waliyofunga Mayele haoni ndani hata robo mkuuu.
Alichowazidi hao hapo juu ni kutikisa maziwa tuuu
 
Simba walikuwepo akina OKWI, SUNZU, SIRENGO na Tambwe ambao kwa mabao waliyofunga Mayele haoni ndani hata robo mkuuu.
Alichowazidi hao hapo juu ni kutikisa maziwa tuuu
Nani bingwa msimu huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…