cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya mtetemo kugandishwa ndiiiiii, ndo unaona hili leo? Unakumbuka match yenu dhidi ya Geita ¼ final FA? ilikuaje?All in all, Tanzania tuna uhaba mkubwa wa waamuzi wenye uwezo wa kuzisimamia sheria 17 za soka kwa usahihi. Kiukweli wengi tulio nao ni majanga.
Jiji limetulizwaaaaaa kumyaaaaah. Weraaaaaaaah.