Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

Simba tuwe makini na cheap politics za Try Again na Magungu,hivi mnawaamini hawa wahuni?walifaya hivo kwa Manzoki ili Magungu apate kura, sasa hivi wanachofanya ni kutuliza mashabiki ili wasihoji kutolewa na Al Ahly na ubingwa wa ligi, hapo ni drama tu kuonyesha kwamba wanapambana lakini hao sio wananunuaji wa wachezaji wazuri wanaokota tu magarasa yaliyochuja , Mayele ni drama tu
 
Umeona mbali kwa darubini kali
 
Mashabiki wa simba kuna wakati mnapenda sana kujidhalilisha!

Sasa shida iko wapi hapo, kwa huyo Mayele kwenda kusalimiana na baadhi ya wachezaji ambao wengine anatoka nao nchi moja!!
Mbona sijaona mahali ambapo mleta uzi ameonyesha kuwa kitendo hicho ni shida?
 
Simba tuwe makini na cheap politics za Try Again na Magungu,hivi mnawaamini hawa wahuni?walifaya hivo kwa Manzoki ili Magungu apate kura, sasa hivi wanachofanya ni kutuliza mashabiki ili wasihoji kutolewa na Al Ahly na ubingwa wa ligi, hapo ni drama tu kuonyesha kwamba wanapambana lakini hao sio wananunuaji wa wachezaji wazuri wanaokota tu magarasa yaliyochuja , Mayele ni drama tu
Mnapumbazwa , Mangungu na Try again wanajua kucheza na mashabiki sana , washatafuta njia ya kufariji mashabiki tayari kwa kipigo cha kesho
 
Umempatiajee yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba kuuliza swali mkuu, kwanini kuna positive correlation between being a simba fan kwa ladies na utapeli. Unlike ladies Yanga fan
 
Mashabiki wa Tz bana!! Yaani kwenda kuwasabahi ndio kasajiriwa Simba? . Manzoki mpk akapiga na kuara Yuko wapi?, Adebayor?.
 
MBona hapo njE ya Hoteli ? eTI KATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA SIMBA ! ALIENAE HAPO NI MkONGO MWENZIE NJE KABISA YA HOTELI.kWANZA MSIJE FUNGWA MKAMSINGIZIA Mayele ndo alitumwa kuwahujumu !!!
 
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Yaani Mikia FC mna shida kweli. Kutembelewa tu ndo mmeshafanya usajili. Mbumbumbu FC kweli.
 
Mmetoka kwa Manzoki mmeenda kwa Mayele mtamtumia nauli nae aje kwenye Uchaguzi wa kina Mangungu hao wakongo wakitoka Tz akili yao ni mbele zaidi msije kutapeliwa..
 
Back
Top Bottom