Mayele ni Straika haswa

Mayele ni Straika haswa

Naungana na wewe 100%. Hata hivyo, Yanga ni timu bora kwa sasa
Huyo inonga kaokolewa na Onyango mara kadhaa. Na hata hivyo pamoja na kukabwa na watu wawili bado alipata nafsi ya kufunga lakini alishindwa kufungwa kutokana na kukosa balance ( match fitness wachezaji wa yanga hawakuwa nayo wamekaa siku 11 bila kucheza mechi)
 
Walikaa muda mrefu bila kupata challenges za kiushindani
acheni visingizio visivyo na msingi ,unaposema match fitness kwani walikuwa hawajui kuna mechi na hawafanyi mazoezi?
 
Sasa si nita-calculate tu. Ni suala dogo sana. Kupata data husika. But dont forget the fact that harakati za Mayele uwanjani ziliwafanya mabeki wa Simba kutoshiriki ktk kuanzisha attacks zozote kwa Yanga. You can't easily quantify this but it counts significantly
Utakapoambiwa ulete Takwimu ana magoli mangapi v/s dakika alizocheza usije ukaanza kuleta Matusi
 
Tangu masele atue yanga amecheza mechi Saba tu za kimashindano lakini ana jina kubwa sana hapo Tz ambalo hastahili kuwa nalo kulingana na stats. Na hapa ndipo uzuzu wa hawa ndugu zetu unapoonekana.
 
Wanaoshangilia kwa nguvu eti wamemdhibiti ndo wanajua uwezo wake
Tangu masele atue yanga amecheza mechi Saba tu za kimashindano lakini ana jina kubwa sana hapo Tz ambalo hastahili kuwa nalo kulingana na stats. Na hapa ndipo uzuzu wa hawa ndugu zetu unapoonekana.
 
Ukiangalia harahati zake uwanjani na namna alivyokuwa akiwaweka roho juu walinzi wa kati wa Simba, ni wazi kuwa Mayele ni mshambuliaji hatari na pengine kwa sasa hakuna kama yeye kwa timu zote -- Simba na Yanga.

Ongezea/punguza/sema ukijuacho, usitukane
kabisaaaaaa
 
Hoja ni kumsifia Onyango specifically kwa kazi ya kumzuia Mayele. Uwe unaelewa nyani wewe
Kwahiyo yote aliyo yafanya onyango jana hujayaona ukiachana na lile la kumshika masele ?? .. hivi yanga mnatumia kiungo gani kufikiria ?? [emoji23]
 
Back
Top Bottom