Mayele ni Straika haswa

Mayele ni Straika haswa

Yaani mijadala mingine ya kipuuzi sana asa mtu anasifia beki zake kwa kumdhibiti Mayele, ina maana Simba iliingia uwanjani kwa lengo la kuwazuia tu Yanga isipate goli halafu wao hata wasipopata goli fresh tu? Maana mechi imeisha kwa sare hivyo alichofanyiwa Mayele ni sawa sawa na alichofanyiwa Morrison + Kagere na boko. Kwanini hamlaumu foward zenu kwa kushindwa kutoka na ushindi na badala yake mnasifia mabeki wenu?
 
Sasa si nita-calculate tu. Ni suala dogo sana. Kupata data husika. But dont forget the fact that harakati za Mayele uwanjani ziliwafanya mabeki wa Simba kutoshiriki ktk kuanzisha attacks zozote kwa Yanga. You can't easily quantify this but it counts significantly

Yani unatumia Nguvu kubwa kueleza pumba! sasa kama mabeki wa Simba hawakuanzisha mashambulizi ni nini kilichowafanya Yanga wao wasifunge?

Acha kurukaruka Leta takwimu Mayele ana goli ngapi v/s Dakika alizocheza?
 
Yaani mijadala mingine ya kipuuzi sana asa mtu anasifia beki zake kwa kumdhibiti Mayele, ina maana Simba iliingia uwanjani kwa lengo la kuwazuia tu Yanga isipate goli halafu wao hata wasipopata goli fresh tu? Maana mechi imeisha kwa sare hivyo alichofanyiwa Mayele ni sawa sawa na alichofanyiwa Morrison + Kagere na boko. Kwanini hamlaumu foward zenu kwa kushindwa kutoka na ushindi na badala yake mnasifia mabeki wenu?

Wewe jamaa mbona unajitia hamnazo hivi? Sasa aliyeanzisha Uzi huu wa Mayele si ni Uto mwenzako?
Kwanini usimlaumu yeye kwa ulimbukeni wake wa kusifia Mayele badala ya performance ya Timu?
 
Sina ushabiki maandazi wa hizi timu zenu ila siwezi kumdharau Mayele. Kwa mfumo aliochagua kocha wake Jana, mtu aliyemwangusha ni Fei ambaye alichagua kutoambatana naye. Otherwise yeye alitimiza jukumu lake vema na makosa machache ya kibinadamu. Tuliocheza mpira tunaelewana, wasioelewa usiwalazimishe. Kuna kipindi mashabiki wa Yanga walimponda Kagere nikasema binafsi nisiye na upande nawachuja kwa kutojielewa. Kila striker ana namna inayomtambulisha uawanjani. Kagere halisi hakuwa na mambo mengi ila alijua kukaa mahali sahihi kwa muda sahihi. Yaani alijua kwa mwenendo huu mpira utakuwa mahali fulani baada ya muda Fulani na kweli ikatokea na akascore kilaini. Sasa mpe a dribble kama Mayele utamkosoa kwa sababu siyo kipaji chake. Nafasi 3 alizopata Mayele Kagere angeweza kutumia ugumu uleule kuscore lakini kazi aliyoifanya dhidi ya beki ya Simba kwa Jana ilikuwa nzito. Wanaowsifu Inonga na Onyango hawawasifu kwa sababu ya kumzuia Fei na wengine. Yaani ukisikia mtu anaisifia beki ya Simba kwa Jana anaisifia kwa matukio ya kumdhibiti mtu mmoja tu na mtu huyo ni Fiston Mayele.
Punguza ukanjanja. Sasa ndiyo uandike gazeti lote hili? Sentensi yako ya mwisho si ingetosha ku sum up ulichotaka kuandika?
 
Kocha Nabi lazima ahakikishe kwamba kwa ule mfumo waliocheza jana, Mayele lazima awe na backup striker karibu kwa ajili ya dharura kitu ambacho kwa ile mechi hakuwa naye.

Hata attacking midfielders wa Yanga mara nyingi walikuwa wanakuwa nyuma sana kiasi cha kumfanya Mayele akose support ya haraka.

Nafikiri viungo wa Yanga walikuwa very defensive minded wakiogopa counter attack kutoka kwa wapinzani wao na hili ilidhihiri zaidi katika kipindi cha pili ambapo waliwaacha Simba watawale zaidi mchezo.

Pia kipa wa Yanga Diarra alionekana kuwa na "Apprehensive Attitude" kwa muda mrefu hali ambayo ilimfanya mara fulani afanye "Lethal Misjudgements" kwa kutoka golini hovyo kukimbilia mpira.

Timu zote zilionekana kucheza kwa kupaniana sana ili kukwepa lawama ya kupoteza mechi kutoka kwa mashabiki wao.

All in all, mpira ulikuwa mzuri na matokeo ya jana ndio true reflection of the quality displayed by both sides.
 
Kutofusa moira kwa hiyo wa Makambako kumemchukiza sana Onyango. Si unajua alipania sana kumvuta/kimshika?
Achana na huyo mapele...yupo mwngine cjui katokea makambako...hajaugusa mpira hadi kuishaa...ila Onyango ni hatar sanaa
 
Yanga hawakufunga ndio. Lkn mpango wa Simba ndo ulikuwa kushika/kuvuta baada ya kupigwa tobo? Mavi wewe
Yani unatumia Nguvu kubwa kueleza pumba! sasa kama mabeki wa Simba hawakuanzisha mashambulizi ni nini kilichowafanya Yanga wao wasifunge?

Acha kurukaruka Leta takwimu Mayele ana goli ngapi v/s Dakika alizocheza?
 
Ukiangalia harahati zake uwanjani na namna alivyokuwa akiwaweka roho juu walinzi wa kati wa Simba, ni wazi kuwa Mayele ni mshambuliaji hatari na pengine kwa sasa hakuna kama yeye kwa timu zote -- Simba na Yanga.

Ongezea/punguza/sema ukijuacho, usitukane
MTU fulani soft sana, Hana ubora wa maana ya straika ambaye unaweza kumtegemea abadilishe matokeo muda wowote. Anapotezwa kirahisi sana.

Mechi ya ngao ya jamii aliingia Kennedy Juma akamficha kabisa. Ni mfungaji wa mipira ya wazi si mpambanaji.

NB:Hivi Feisal alikuwa uwanjani? Sikumwona.
 
Mwakani Utopolo mtasajili straika tena

Mayele msimu ukiisha huu hamtamtamani. Hana maajabu. Ngoja ligi ichanganye vizuri, mwenye kombe lake akalie usukani.

Mtafukuza mpaka mpishi km msimu ulioisha.
 
Yaani mijadala mingine ya kipuuzi sana asa mtu anasifia beki zake kwa kumdhibiti Mayele, ina maana Simba iliingia uwanjani kwa lengo la kuwazuia tu Yanga isipate goli halafu wao hata wasipopata goli fresh tu? Maana mechi imeisha kwa sare hivyo alichofanyiwa Mayele ni sawa sawa na alichofanyiwa Morrison + Kagere na boko. Kwanini hamlaumu foward zenu kwa kushindwa kutoka na ushindi na badala yake mnasifia mabeki wenu?
Hebu ongea na statistics kwanza halafu useme kitu kuhusu fowards za Simba

IMG-20211212-WA0006.jpg
 
Tobo lile alipigwa bibi yako. Eti aliwekwa mfukoni.....Onyango ndo mmemfundisha kushika na kuvuta watu? Ovyo kabisa

Wewe si umesema watu wachangie bila jazba wala matusi,sasa wewe hapa unafanya nini? Au hata hukumbuki mwanzo wa mada yako umesema nini? Utopolo punguza makasiriko,Simba ndiyo kwanza inawavutia kasi hapo juu,ni swala la muda tu.
 
Kwakuwa hajawafunga? Akili ndogo sana
Mwakani Utopolo mtasajili straika tena

Mayele msimu ukiisha huu hamtamtamani. Hana maajabu. Ngoja ligi ichanganye vizuri, mwenye kombe lake akalie usukani.

Mtafukuza mpaka mpishi km msimu ulioisha.
 
Mmmmmh ngao ya jamii Mayele ukifunga goli gumu sana. Striker mjingamjinga hafungi pale. Labda unaangalia kwa makalio
MTU fulani soft sana, Hana ubora wa maana ya straika ambaye unaweza kumtegemea abadilishe matokeo muda wowote. Anapotezwa kirahisi sana.

Mechi ya ngao ya jamii aliingia Kennedy Juma akamficha kabisa. Ni mfungaji wa mipira ya wazi si mpambanaji.

NB:Hivi Feisal alikuwa uwanjani? Sikumwona.
 
Sina ushabiki maandazi wa hizi timu zenu ila siwezi kumdharau Mayele. Kwa mfumo aliochagua kocha wake Jana, mtu aliyemwangusha ni Fei ambaye alichagua kutoambatana naye. Otherwise yeye alitimiza jukumu lake vema na makosa machache ya kibinadamu. Tuliocheza mpira tunaelewana, wasioelewa usiwalazimishe. Kuna kipindi mashabiki wa Yanga walimponda Kagere nikasema binafsi nisiye na upande nawachuja kwa kutojielewa. Kila striker ana namna inayomtambulisha uawanjani. Kagere halisi hakuwa na mambo mengi ila alijua kukaa mahali sahihi kwa muda sahihi. Yaani alijua kwa mwenendo huu mpira utakuwa mahali fulani baada ya muda Fulani na kweli ikatokea na akascore kilaini. Sasa mpe a dribble kama Mayele utamkosoa kwa sababu siyo kipaji chake. Nafasi 3 alizopata Mayele Kagere angeweza kutumia ugumu uleule kuscore lakini kazi aliyoifanya dhidi ya beki ya Simba kwa Jana ilikuwa nzito. Wanaowsifu Inonga na Onyango hawawasifu kwa sababu ya kumzuia Fei na wengine. Yaani ukisikia mtu anaisifia beki ya Simba kwa Jana anaisifia kwa matukio ya kumdhibiti mtu mmoja tu na mtu huyo ni Fiston Mayele.
Unayumbayumba sana mara sipendi team zenu hizi, asa sijui umefuata nini kwenye team zetu hizi.....
Aliyemuangusha ni fei au Viungo wa Simba waliomdhibiti fei?
Ukiwa mwana Yanga huwezi kujificha kabisa.
 
Yaani mijadala mingine ya kipuuzi sana asa mtu anasifia beki zake kwa kumdhibiti Mayele, ina maana Simba iliingia uwanjani kwa lengo la kuwazuia tu Yanga isipate goli halafu wao hata wasipopata goli fresh tu? Maana mechi imeisha kwa sare hivyo alichofanyiwa Mayele ni sawa sawa na alichofanyiwa Morrison + Kagere na boko. Kwanini hamlaumu foward zenu kwa kushindwa kutoka na ushindi na badala yake mnasifia mabeki wenu?

Kunywa maji ya baridi upunguze munkari,tunajua kabla ya Mechi tambo zenu zilivyokuwa hapa jamvini.Kwa sasa tunaelewa maumivu mnayopitia na next Derby ndiyo mtatueleza hata hii sare mliipataje.Sisi ndiyo Simba tunaobeba bendera ya Nchi mabegani mwetu kwa mashindano makubwa barani Africa.
 
Kocha Nabi lazima ahakikishe kwamba kwa ule mfumo waliocheza jana, Mayele lazima awe na backup striker karibu kwa ajili ya dharura kitu ambacho kwa ile mechi hakuwa naye.

Hata attacking midfielders wa Yanga mara nyingi walikuwa wanakuwa nyuma sana kiasi cha kumfanya Mayele akose support ya haraka.

Nafikiri viungo wa Yanga walikuwa very defensive minded wakiogopa counter attack kutoka kwa wapinzani wao na hili ilidhihiri zaidi katika kipindi cha pili ambapo waliwaacha Simba watawale zaidi mchezo.

Pia kipa wa Yanga Diarra alionekana kuwa na "Apprehensive Attitude" kwa muda mrefu hali ambayo ilimfanya mara fulani afanye "Lethal Misjudgements" kwa kutoka golini hovyo kukimbilia mpira.

Timu zote zilionekana kucheza kwa kupaniana sana ili kukwepa lawama ya kupoteza mechi kutoka kwa mashabiki wao.

All in all, mpira ulikuwa mzuri na matokeo ya jana ndio true reflection of the quality displayed by both sides.

Walau wewe umeeleweka Mkuu
 
Back
Top Bottom