Mayor Jacob ameitwa na Sekretariati ya Maadili kwa kumshitaki Makonda?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Najaribu kuunganisha dots za kuanza kusikilizwa kwa shauri la Major Jacob mahakamani kutokana na kesi ya vyeti feki vya Makonda,na wito Sekretariati ya Maadili

Leo meya ameitwa na tume ya maadili kufika ofisi za tume na sababu haijaelezwa ameitwa kwenda kufanya nini. Lakini kumbuka kuwa wito huu unakuja baada ya kesi ya vyeti kuanza

Kizuri zaidi meya ameweka wazi mara atakapomalizana na tume ataongea na wanahabari kuweka mambo wazi.

Ni mamiaka sasa toka vyeti vya Makonda vianze kutiliwa mashaka na hatimaye kudhibitishwa kuwa anatumia cheti cha mtu mwingine lakini tume haijawahi kumuita na kumuhoji Makonda kabisa,najua wanamuogopa kutokana na nafasi nyeti isiyoonekana aliyonayo.

Lakini tujiulize tume inamuita anayetaka mambo yawe wazi na kumuacha aliyeghushi cheti,kuna nini hapo?
 
Hii ndio Tanzania ya Viwanda!!! Hatuwezi Kuongoza Inch ikawa na Uchumi mzuri kwa Mipasho, Maneno ya Vitisho, Maneno ya Khanga, Maneno ya Kusutana, Visasi, Ubabe na Kukomoana.
 
Tanzania ya viwanda oyeeee, sijui mpaka Sasa hivi viwanda vya mama niwekee vimeongezeka vingapi
 
Naona wanapigwa mafisadi wengine ili mafisadi wachache wapate kufanya yao. Nchi imekuwa ya watu wachache...walio wengi hawasikilizwi. Wengi siku watakayoamua nao nchi iwe yao, ndio matunda na uzuri wa kuishi Tanzania watayaona.
 
Meya una deal na mambo ya kijinga, mbona hafanyi kazi kama anayoifanya Makonda, au ana wivu na maendeleo anayohangaika Makonda, Makonda ni mpambanaji na mchapakazi, anayebisha atakuwa ana matatizo, Meya leo unaleta ya ajabu, endelea utapotezwa na wasiojulikana kama kazi yako ni kufuatilia watu potential na majungu washindwa fanya kazi. Hii ni kwa wanyama weusi tuu, nilichukua humu humu hhaaa
 
Najaribu kuunganisha dots za kuanza kusikilizwa kwa shauri la Major Jacob mahakamani kutokana na kesi ya vyeti feki vya Makonda,na wito Sekretariati ya Maadili

Leo meya ameitwa na tume ya maadili kufika ofisi za tume na sababu haijaelezwa ameitwa kwenda kufanya nini. Lakini kumbuka kuwa wito huu unakuja baada ya kesi ya vyeti kuanza

Kizuri zaidi meya ameweka wazi mara atakapomalizana na tume ataongea na wanahabari kuweka mambo wazi.

Ni mamiaka sasa toka vyeti vya Makonda vianze kutiliwa mashaka na hatimaye kudhibitishwa kuwa anatumia cheti cha mtu mwingine lakini tume haijawahi kumuita na kumuhoji Makonda kabisa,najua wanamuogopa kutokana na nafasi nyeti isiyoonekana aliyonayo.

Lakini tujiulize tume inamuita anayetaka mambo yawe wazi na kumuacha aliyeghushi cheti,kuna nini hapo?
Mwambie apambane na hali yake asianze kulialia ....kutafuta huruma na kiki za kijinga!hivi yeye ndiyo wa kwanza kuitwa na tume hiyo?kuitwa kwake kunahusiana vipi na makonda?acheni upumbavu!
 
Sijui kama watamruhusu aweke mambo hadharani na kuna uwezekano mkubwa wa kubensananiwa au kutundulisiwa!
 
Meya una deal na mambo ya kijinga, mbona hafanyi kazi kama anayoifanya Makonda, au ana wivu na maendeleo anayohangaika Makonda, Makonda ni mpambanaji na mchapakazi, anayebisha atakuwa ana matatizo, Meya leo unaleta ya ajabu, endelea utapotezwa na wasiojulikana kama kazi yako ni kufuatilia watu potential na majungu washindwa fanya kazi. Hii ni kwa wanyama weusi tuu, nilichukua humu humu hhaaa
Walivyokuwa wanafukuza wafanyakazi wenye vyeti feki unadhani hakukuwa na wachapakazi kati yao?Kazi achape lakini hatakuwa juu ya sheria.
 
Meya una deal na mambo ya kijinga, mbona hafanyi kazi kama anayoifanya Makonda, au ana wivu na maendeleo anayohangaika Makonda, Makonda ni mpambanaji na mchapakazi, anayebisha atakuwa ana matatizo, Meya leo unaleta ya ajabu, endelea utapotezwa na wasiojulikana kama kazi yako ni kufuatilia watu potential na majungu washindwa fanya kazi. Hii ni kwa wanyama weusi tuu, nilichukua humu humu hhaaa
Kwani wale walio ghushi vyeti hawakua wapambanaji ?mbona Sao2wametumbuliwa kwa nini huyu asiyumbiliwe kama wale ?
 
Najaribu kuunganisha dots za kuanza kusikilizwa kwa shauri la Major Jacob mahakamani kutokana na kesi ya vyeti feki vya Makonda,na wito Sekretariati ya Maadili

Leo meya ameitwa na tume ya maadili kufika ofisi za tume na sababu haijaelezwa ameitwa kwenda kufanya nini. Lakini kumbuka kuwa wito huu unakuja baada ya kesi ya vyeti kuanza

Kizuri zaidi meya ameweka wazi mara atakapomalizana na tume ataongea na wanahabari kuweka mambo wazi.

Ni mamiaka sasa toka vyeti vya Makonda vianze kutiliwa mashaka na hatimaye kudhibitishwa kuwa anatumia cheti cha mtu mwingine lakini tume haijawahi kumuita na kumuhoji Makonda kabisa,najua wanamuogopa kutokana na nafasi nyeti isiyoonekana aliyonayo.

Lakini tujiulize tume inamuita anayetaka mambo yawe wazi na kumuacha aliyeghushi cheti,kuna nini hapo?
Hiyo secretarieti ya maadili ni butu kabisa ngoja meya awasaidie kulinda maadili kupitia mahakama
 
Vyeti vyeti vyeti makonda thibitisha kwamba hawakusemi tu kumbuka kuna Maisha baada ya awamu hii!!
 
Mody futa hii thread sina mkojo miye [emoji61] [emoji134] [emoji125]
 
Back
Top Bottom