Mayor Jacob ameitwa na Sekretariati ya Maadili kwa kumshitaki Makonda?

Mayor Jacob ameitwa na Sekretariati ya Maadili kwa kumshitaki Makonda?

Najaribu kuunganisha dots za kuanza kusikilizwa kwa shauri la Major Jacob mahakamani kutokana na kesi ya vyeti feki vya Makonda,na wito Sekretariati ya Maadili

Leo meya ameitwa na tume ya maadili kufika ofisi za tume na sababu haijaelezwa ameitwa kwenda kufanya nini. Lakini kumbuka kuwa wito huu unakuja baada ya kesi ya vyeti kuanza

Kizuri zaidi meya ameweka wazi mara atakapomalizana na tume ataongea na wanahabari kuweka mambo wazi.

Ni mamiaka sasa toka vyeti vya Makonda vianze kutiliwa mashaka na hatimaye kudhibitishwa kuwa anatumia cheti cha mtu mwingine lakini tume haijawahi kumuita na kumuhoji Makonda kabisa,najua wanamuogopa kutokana na nafasi nyeti isiyoonekana aliyonayo.

Lakini tujiulize tume inamuita anayetaka mambo yawe wazi na kumuacha aliyeghushi cheti,kuna nini hapo?



Alicho itiwa hicho!
 
Tume ya Maadili butu kabisa. Yaani mtu anaitwa na "kutishwa" kimtindo eti aachane na kesi kwa kuwa na yeye alikiuka maadili kwa allegedly kuendesha kikao cha Chama ndani ya ofisi ya Umma. What a trajedy. Magufuli angeivunjilia mbali hii Tume. Hakuna wanalofanya. No wonder mtaalamu Joka la kengeza aligoma kuhojiwa na hawajamfanya kitu mpaka kesho
 
Mwenzenu Ana fanya kazi ninyi nimaneno yasio kuanaana kilasiku kelele hivi kelele bilakazi mlizani ndiokupata uongozi mtachanguliwa na wananchi kwahio kama ni maneno nani atawchangua
 
Mwambie apambane na hali yake asianze kulialia ....kutafuta huruma na kiki za kijinga!hivi yeye ndiyo wa kwanza kuitwa na tume hiyo?kuitwa kwake kunahusiana vipi na makonda?acheni upumbavu!
Wewe ndio mpumbavu.walikua wapi siku zote?
 
Meya una deal na mambo ya kijinga, mbona hafanyi kazi kama anayoifanya Makonda, au ana wivu na maendeleo anayohangaika Makonda, Makonda ni mpambanaji na mchapakazi, anayebisha atakuwa ana matatizo, Meya leo unaleta ya ajabu, endelea utapotezwa na wasiojulikana kama kazi yako ni kufuatilia watu potential na majungu washindwa fanya kazi. Hii ni kwa wanyama weusi tuu, nilichukua humu humu hhaaa
Yani kwa huu mwandiko kama sio binti kigori basi lazima utakiwa bwabwa[emoji23] [emoji31]
 
Chadema muongezeeni ulinzi huyu Meya
Ndiko wanakoelekea ....ni kama ishu ya lissu imepoa wanaamsha dude tena!huenda huyo meya anacheza ngoma asiyo ijua....akipewa kibano cha haja na wahuni. ......'.watu wanaojulikana' .....mavi atatupiwa makonda....hii kiki itadumu kwa miezi 3 hivi huku wakijipanga kwa kituko kingine!
 
Back
Top Bottom