Very true kusiwe na double standard kama waliamua kuwashughulikia vihio basi wote wapigwe chini hamna cha Makonda wala nini wote ni Group moja, wapo wengi waliopigwa chini na ni wafanyakazi wazuri tuu kilichowaangusha ni vyeti na walishughulikiwa bila huruma yeye huyu ni nani mpaka asiguswe.....??