Mayor Jacob ameitwa na Sekretariati ya Maadili kwa kumshitaki Makonda?

Kabla ya kuanza kuandika ulitakiwa kujua huyo meya alifungua mashtaka wapi na ameitwa wapi.
 
Anaenda kupigwa mkwara wa ki dola!!! Utashangaa amekataa pesa atakutana na la kukutana!!! Nchi ilishasigina Katiba na uhuru......ajiangalie hao wenyewe wana gwaya utawala wa mkono wa chuma!! Ataambiwa anachelewesha viwanda!!!!
Huu ndio ujinga wetu watanzania ... kila kitu tuna rudi nyuma basi hata kwa kuongea kwa mbali tena nyuma ya ID fake na avatar isiyofanana na wewe .. bado tunaongea kauli za kinyonge ...

Ukilegea ndivyo itakavyokua ...
 
Issue sio wivu hapa issue ... nikusimamaia haki ... kumbuka Jacob kasota darasani ... hala bwege tu anajipatia kilaini ...

Hujui uchungu wa shulele wewe ...
 
Kuna siku mtamjua makonda ni nani kwenye nchi hii,naomba muhifadhi akiba ya maneno
 
Kumbe na nyie mnajua wasiojulikana wanatumwa na nani?Weka vyeti hatutaki porojo kazi hata waliotimuliwa walikuwa wanafanya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti wanamuogopa Makonda kwa Nafasi nyeti ISIYOONEKANA ALIONAYO
 
Waberoya wa JF ndiye ataongoza hicho kikao. Yani huyu jamaa alivyokatili kwa wapinzani. Mimi nilomshtukia comment yake moja akituhakikshia lisu atatoka lock up jioni wakati hule alivyokatili nje ya mahakama Na kweli akatoka. Yani tukichukua nchi ngojeni tuu
 
Tunataka haki itendeke sheria ni msumeno haijalishi we vp???
 
ku deal na mtu aliyefoji vyeti ni mambo ya kijinga???
 
jinga kama wewe ndio mnaochelewesha maendeleo,kwani wale wafanyakazi waliotumbuliwa kwa vyeti feki hawakuwa wachapakazi?tutolee upuuzi wako na vitisho vya kishamba!!!
 

mkuu muwe na kumbukumbu

meya alimshtaki makonda tume ya maadili na mahakamani!!

acha kusahau
 
Basi majizi na matapeli tuyawache tu sababu wanatoa magodoro ya kuhongwa ....si wanachapa kazi ?
 
Wewe ndiye mjinga, meya anakusaidia indirect. Hakuna kazi ya maana anayoifanya Makonda (kama una akili lakini). Anachofanya Makonda ni kuvuruga. Ni hii ni kwa sababu kichwani ni mweupe, bali ni "mjanjamjanja" anayeweza kuwahadaa weupe vichwani kama wewe. Muda ndio utasema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…