wale wliofukuzwa kwa vyeti feki SIO WACHAPAKAZI mmezoea kufikirishwa kwa kutumia MAKALIO ndo shida yenu.Meya una deal na mambo ya kijinga, mbona hafanyi kazi kama anayoifanya Makonda, au ana wivu na maendeleo anayohangaika Makonda, Makonda ni mpambanaji na mchapakazi, anayebisha atakuwa ana matatizo, Meya leo unaleta ya ajabu, endelea utapotezwa na wasiojulikana kama kazi yako ni kufuatilia watu potential na majungu washindwa fanya kazi. Hii ni kwa wanyama weusi tuu, nilichukua humu humu hhaaa
Hongera kwa kuonyesha utahira wako JFNashangaa Mkuu Mataahira nao wanakuwa members huku JF
Perfect.Wewe ndiye mjinga, meya anakusaidia indirect. Hakuna kazi ya maana anayoifanya Makonda (kama una akili lakini). Anachofanya Makonda ni kuvuruga. Ni hii ni kwa sababu kichwani ni mweupe, bali ni "mjanjamjanja" anayeweza kuwahadaa weupe vichwani kama wewe. Muda ndio utasema!
hakuna kesi ya vyeti mahakamani acha kupotosha.Kama hujui kitu omba kuelekezwaNajaribu kuunganisha dots za kuanza kusikilizwa kwa shauri la Major Jacob mahakamani kutokana na kesi ya vyeti feki vya Makonda,na wito Sekretariati ya Maadili
Leo meya ameitwa na tume ya maadili kufika ofisi za tume na sababu haijaelezwa ameitwa kwenda kufanya nini. Lakini kumbuka kuwa wito huu unakuja baada ya kesi ya vyeti kuanza
Kizuri zaidi meya ameweka wazi mara atakapomalizana na tume ataongea na wanahabari kuweka mambo wazi.
Ni mamiaka sasa toka vyeti vya Makonda vianze kutiliwa mashaka na hatimaye kudhibitishwa kuwa anatumia cheti cha mtu mwingine lakini tume haijawahi kumuita na kumuhoji Makonda kabisa,najua wanamuogopa kutokana na nafasi nyeti isiyoonekana aliyonayo.
Lakini tujiulize tume inamuita anayetaka mambo yawe wazi na kumuacha aliyeghushi cheti,kuna nini hapo?
Daah! Watu wasiojulikana?Meya una deal na mambo ya kijinga, mbona hafanyi kazi kama anayoifanya Makonda, au ana wivu na maendeleo anayohangaika Makonda, Makonda ni mpambanaji na mchapakazi, anayebisha atakuwa ana matatizo, Meya leo unaleta ya ajabu, endelea utapotezwa na wasiojulikana kama kazi yako ni kufuatilia watu potential na majungu washindwa fanya kazi. Hii ni kwa wanyama weusi tuu, nilichukua humu humu hhaaa
We utakuwa haukusoma kenge kabisa! Suala LA uchapakazi na vyeti kuna maingiliano au uhusiano gani? Hivi wewe umemaliza hata form four? Hujui maana ya cheti? Pumbavu sanaMeya una deal na mambo ya kijinga, mbona hafanyi kazi kama anayoifanya Makonda, au ana wivu na maendeleo anayohangaika Makonda, Makonda ni mpambanaji na mchapakazi, anayebisha atakuwa ana matatizo, Meya leo unaleta ya ajabu, endelea utapotezwa na wasiojulikana kama kazi yako ni kufuatilia watu potential na majungu washindwa fanya kazi. Hii ni kwa wanyama weusi tuu, nilichukua humu humu hhaaa
Kwahiyo Waberoya ni jaji auWaberoya wa JF ndiye ataongoza hicho kikao. Yani huyu jamaa alivyokatili kwa wapinzani. Mimi nilomshtukia comment yake moja akituhakikshia lisu atatoka lock up jioni wakati hule alivyokatili nje ya mahakama Na kweli akatoka. Yani tukichukua nchi ngojeni tuu
Makonda mtamuhoji lini huko tume?
Waberoya wa JF ndiye ataongoza hicho kikao. Yani huyu jamaa alivyokatili kwa wapinzani. Mimi nilomshtukia comment yake moja akituhakikshia lisu atatoka lock up jioni wakati hule alivyokatili nje ya mahakama Na kweli akatoka. Yani tukichukua nchi ngojeni tuu