Mayor Jacob ameitwa na Sekretariati ya Maadili kwa kumshitaki Makonda?



Alicho itiwa hicho!
 
Tume ya Maadili butu kabisa. Yaani mtu anaitwa na "kutishwa" kimtindo eti aachane na kesi kwa kuwa na yeye alikiuka maadili kwa allegedly kuendesha kikao cha Chama ndani ya ofisi ya Umma. What a trajedy. Magufuli angeivunjilia mbali hii Tume. Hakuna wanalofanya. No wonder mtaalamu Joka la kengeza aligoma kuhojiwa na hawajamfanya kitu mpaka kesho
 
Mwenzenu Ana fanya kazi ninyi nimaneno yasio kuanaana kilasiku kelele hivi kelele bilakazi mlizani ndiokupata uongozi mtachanguliwa na wananchi kwahio kama ni maneno nani atawchangua
 
Mwambie apambane na hali yake asianze kulialia ....kutafuta huruma na kiki za kijinga!hivi yeye ndiyo wa kwanza kuitwa na tume hiyo?kuitwa kwake kunahusiana vipi na makonda?acheni upumbavu!
Wewe ndio mpumbavu.walikua wapi siku zote?
 
Yani kwa huu mwandiko kama sio binti kigori basi lazima utakiwa bwabwa[emoji23] [emoji31]
 
Chadema muongezeeni ulinzi huyu Meya
Ndiko wanakoelekea ....ni kama ishu ya lissu imepoa wanaamsha dude tena!huenda huyo meya anacheza ngoma asiyo ijua....akipewa kibano cha haja na wahuni. ......'.watu wanaojulikana' .....mavi atatupiwa makonda....hii kiki itadumu kwa miezi 3 hivi huku wakijipanga kwa kituko kingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…