Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 302
- 295
Mwaka 2020 ulifanikisha kuingiza madiwani wote uliowataka na yule wa akribu yako zaidi ukamfanya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iramba. Mbaya sana!
Pamoja na wewe bado kukubalika ninakushauri kwa dhati ya moyo wangu usitoe hela kuhakikisha hao madiwani wanarudi,. Hiyo sio timu itakayokufikisha Kaanan, angalia timu ingine. Angalia Timu inayoweza kukufanya uonekane wa kitaifa zaidi, Malengo yako yanajulikana unataka URais, kwa timu hiyo utaendelea kuishia kwenye ubunge na inawezekana hata hiyo 2030 na ubunge nako ukaambulia patupu!
Kila la kheri mayu!