Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Taì ?In nyiramba mayu ni mjomba.
Taì ?In nyiramba mayu ni mjomba.
Asee! Kumbe ni ndani ya NEC - status ikoje sasa?Mayu huko kwetu Iramba kwenye jimbo la Mwigulu HAKUNA mtu wa kum challenge Mwigulu kwenye jimbo lake
Wasomi wazuri na watu makini wako wengi ila Mwigulu ana maguvu mengi sana ndani ya chama na serikalini na kifedha.
Kunasababu kwanini Kitila alilikwepa jimbo na kwenda Ubungo
Ili kuupata uraisi Mwigulu haitaji madiwani imara jimboni kwake……. Anahitaji ushawishi ndani ya NEC
Mwigulu anapambana vita kubwa sana ndani ya CCM kupata ushawishi wa urais dhidi ya akina Makamba, Ridhiwani, Nchimbi, Biteko nk…… huko kwenye udiwani anapanga tu watu wanaoweza kuhakikisha hakuna atakayeingia jimboni kwake na kutaka kumchallenge
Mayu ni mwanaume kinyeramba mwanaume anamwita mwanaume mwenzake mayuMayu ndo nini????
Mayo in sukuma means Mama.
Mayi in Jita means Mama
Hakubaliki kiivyo ndugu,kitendo Cha kuweka madiwani wake hiyo ni ishara ya kutokubalikaJamaa jimboni kwake anakubalika sababu anafanya vitu vinaonekana na hata upigaji wake wa kampeni hatumiagi nguvu.
Binafsi nampongeza ukarabati wa Hospital ya Kiomboi,daraja Mto Mwajuma pale Mgodini pia kutengeneza njia ya moja kwa moja inayotoka Kiomboi hadi Ntwike
Pamoja na mapungufu yake ila jamaa anakitu.
Ningekuwa Iramba ningeenda kumpigia kura yeye tu.
Unaongelea Iramba ipi Mayu ambako wamejichokeaHakubaliki kiivyo ndugu,kitendo Cha kuweka madiwani wake hiyo ni ishara ya kutokubalika
Akafosi diwani wa kata ya kyengege Inosent ambae wanatoka Kijiji kimoja Cha Makunda akawa mwenyekiti wa halmashauri,wananchi wa Iramba wamejichokea wanasubiri Rehema ya Mungu kwani nguvu aliyo Naya ya kipesa huwezi shindana nae,anakuweka ugombee udiwani na pesa ya kampeni anakupa Jimbo Zima Sasa huyo mtu ataacha kupita bila kupingwa?Jimbo la Iramba Lina pesa lilitakiwa liwe na miradi mingi zaidi Ila pesa inapingwa kwani madiwani wote ni ndio mzee
Mkuu labda tukuulize wewe unaongelea Iramba ipi yenye maendeleo….. Iramba Magharibi?Unaongelea Iramba ipi Mayu ambako wamejichokea
Kuhusu madiwani nakubali wazinguaji ila jamaa anatenda vinaonekana angekuwa miyeyusho wangemkataa ukitaka kuamini kamuulize J Kilimba anajua watu wa huko unafiki ni mdogo sana
Kwani ukarabati huo ni initiative yake basi?Jamaa jimboni kwake anakubalika sababu anafanya vitu vinaonekana na hata upigaji wake wa kampeni hatumiagi nguvu.
Binafsi nampongeza ukarabati wa Hospital ya Kiomboi,daraja Mto Mwajuma pale Mgodini pia kutengeneza njia ya moja kwa moja inayotoka Kiomboi hadi Ntwike
Pamoja na mapungufu yake ila jamaa anakitu.
Ningekuwa Iramba ningeenda kumpigia kura yeye tu.
Kwahiyo ukiambiwa uwatoe waliojichokea na watu Iramba magharibi unawatoa?Mkuu labda tukuulize wewe unaongelea Iramba ipi yenye maendeleo….. Iramba Magharibi?
Ni yanani MayuKwani ukarabati huo ni initiative yake basi?
Mkuu eneo kubwa la jimbo la Iramba magharibi lipo Ushora-Ndago lenye kata za Mukulu, Ndago, Mtenkete, Urughu, Kaselya…. Huku ni kwetu nakuja vizuri sana watu wamechoka balaa,Kwah
Kwahiyo ukiambiwa uwatoe waliojichokea na watu Iramba magharibi unawatoa?