Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Yaani wamemuandama Floyd mpaka wanakera mkuu.Nisingemshauri Mayweather arudi ulingoni. Hata Tyson alichafua rekodi yake alipogoma kusoma alama za nyakati
Umri umeshaenda mkuu.Aache uwoga myweather
Wakitaka kumshawishi labda waweke dau kubwa sana kuliko lile lililowekwa kwenye pambano lake dhidi ya McGregor au Pacquiao.Mayweather ni bondia ambae sijawahi kumpenda upiganaji wake simchukii, ni bondia mkubwa, kuweka rekodi 50-0. Si kitu kidogo, naona wanamuandama, wanakereka sana na rekodi yake, mayweather nae ni sungura ameona umri umesogea, yasije kumkuta ya tyson au klitschko kwa anthony joshua juzi. Na si dhan kama hiv vibondia wanavyotaka kumpa vitamuweza, mayweather ana mbinu za hali ya juu, kumpiga ni akili zilizopitiliza... Anapaki basii km mourinho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uzito wake na AJ ni tofauti.Alivyo na tamaa atarudi kwa nini hapigani na anthony joshua?
Kapigane nae wewe kama unaona anabebwabebwaHata kama atapigana sitojisumbua kuangalia. Jitu lenyewe linabebwabebwa.
Kapigane nae wewe kama unaona anabebwabebwa
Uzito wao ni tofautiAlivyo na tamaa atarudi kwa nini hapigani na anthony joshua?
Antony Joshua.? [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mayweather au nani.?Alivyo na tamaa atarudi kwa nini hapigani na anthony joshua?
Fuatilia michezo mingine tu ,si lazima wote tufatilie boxing.Hata kama atapigana sitojisumbua kuangalia. Jitu lenyewe linabebwabebwa.
Antony Joshua.? [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mayweather au nani.?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Rudi kwenye Manchestet yako mkuu
huyu jamaa ni mjinga sana, ana represent black race vibaya sana, ana hela lakini hana akili, na wazungu huwa wanaamini waafrica wote tuna akili kama za huyu jamaa. jinga jinga sana.Mashabiki wa ngumi wamemchachamalia Floyd Mayweather wakitaka apande ulingoni kupambana na Gennady Gennadyevich Golovkin(GGG).
Kwa upande wa Floyd amedai hayuko tayari kurudi tena ulingoni na kamwe hawezi kuvunja kiapo chake .
Pia amedai GGG ni bondia mdogo sana kwake hivyo hawezi kujisumbua kurudi tena ulingoni kupambana naye.
Ujinga wake nini?hu
huyu jamaa ni mjinga sana, ana represent black race vibaya sana, ana hela lakini hana akili, na wazungu huwa wanaamini waafrica wote tuna akili kama za huyu jamaa. jinga jinga sana.