Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mashabiki wa ngumi wamemchachamalia Floyd Mayweather wakitaka apande ulingoni kupambana na Gennady Gennadyevich Golovkin(GGG).
Kwa upande wa Floyd amedai hayuko tayari kurudi tena ulingoni na kamwe hawezi kuvunja kiapo chake .
Pia amedai GGG ni bondia mdogo sana kwake hivyo hawezi kujisumbua kurudi tena ulingoni kupambana naye.