Mayweather kupanda ulingoni kupambana pambano la mwisho dhidi ya GGG

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mashabiki wa ngumi wamemchachamalia Floyd Mayweather wakitaka apande ulingoni kupambana na Gennady Gennadyevich Golovkin(GGG).

Kwa upande wa Floyd amedai hayuko tayari kurudi tena ulingoni na kamwe hawezi kuvunja kiapo chake .

Pia amedai GGG ni bondia mdogo sana kwake hivyo hawezi kujisumbua kurudi tena ulingoni kupambana naye.
 
Yaan wanamwona anazeeka ndo wanamletea vijana waharib record,wangemfata alivokua hot kama wao bas..kwanza huyo bondia ana record gan had apigane na floyd? Hiv unajua inabid upitie mangap had ufike level ya kupigana na floyd,tena ningekua mim floyd,nawatukana kabsaa,.kwanza huyo bondia ana sh ngap?networth yake ngap tuanzie hapo,sio ana mili1 af anataka apigane na mtu mwenye $1bil
 
Mayweather ni bondia ambae sijawahi kumpenda upiganaji wake simchukii, ni bondia mkubwa, kuweka rekodi 50-0. Si kitu kidogo, naona wanamuandama, wanakereka sana na rekodi yake, mayweather nae ni sungura ameona umri umesogea, yasije kumkuta ya tyson au klitschko kwa anthony joshua juzi. Na si dhan kama hiv vibondia wanavyotaka kumpa vitamuweza, mayweather ana mbinu za hali ya juu, kumpiga ni akili zilizopitiliza... Anapaki basii km mourinho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakitaka kumshawishi labda waweke dau kubwa sana kuliko lile lililowekwa kwenye pambano lake dhidi ya McGregor au Pacquiao.
 
Alivyo na tamaa atarudi kwa nini hapigani na anthony joshua?
Antony Joshua.? [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mayweather au nani.?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Rudi kwenye Manchestet yako mkuu
 
hu
Mashabiki wa ngumi wamemchachamalia Floyd Mayweather wakitaka apande ulingoni kupambana na Gennady Gennadyevich Golovkin(GGG).

Kwa upande wa Floyd amedai hayuko tayari kurudi tena ulingoni na kamwe hawezi kuvunja kiapo chake .

Pia amedai GGG ni bondia mdogo sana kwake hivyo hawezi kujisumbua kurudi tena ulingoni kupambana naye.

huyu jamaa ni mjinga sana, ana represent black race vibaya sana, ana hela lakini hana akili, na wazungu huwa wanaamini waafrica wote tuna akili kama za huyu jamaa. jinga jinga sana.
 
Ujinga wake nini?
 
Back
Top Bottom