Mayweather ‘welcomes’ TZ boxer Mwakinyo to his roster

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Mayweather ‘welcomes’ TZ boxer Mwakinyo to his roster


Plans are afoot for Floyd Mayweather to include Tanzania’s Hassan Mwakinyo in the list of boxers who box under his promotional company, The Money Team (TMT).


BY Majuto Omary

IN SUMMARY

TMT is among international firms that are interested in drafting in Mwakinyo after his sterling show in Saturday’s fight against England’s Sam Eggington at Birmingham Arena, according to the boxer’s manager, Rashid Nassoro.


Dar es Salaam. Plans are afoot for Floyd Mayweather to include Tanzania’s Hassan Mwakinyo in the list of boxers who box under his promotional company, The Money Team (TMT).

TMT is among international firms that are interested in drafting in Mwakinyo after his sterling show in Saturday’s fight against England’s Sam Eggington at Birmingham Arena, according to the boxer’s manager, Rashid Nassoro.

On Saturday night, the 23-year-old boxer lived up to his reputation as one of the fast-rising professional fighters when he recorded a Technical Knock Out (TKO) win over Eggington at Birmingham Arena.

Nassoro told The Citizen by phone from London yesterday that Mwakinyo would sign a contract with one of the firms after consulting officials of Tanzania Professional Boxing Regulatory Authority (TPBRC).
 
Hii ni habari nzuri sana kwa Mwakinyo ni mwendo wa moneyyyy tu.
 
Bila belt he ain't nothing. Wacha apate belt kwanza. Lakini anatuma, si kawaida ya watanzania kujituma hivi ama pengine baba yake ni mkenya.
Inawezekana!
Anatokea Tanga jibu unalo
 
sawa tujivunie bondia kapata jina, japo na fake news tunaziona, but when it comes to Floyd M. Jr dogo anaweza akaondolewa ulingoni direct kwenye ambulance akapewa na hela ya matibabu baada TKO 1st round.
 
sawa tujivunie bondia kapata jina, japo na fake news tunaziona, but when it comes to Floyd M. Jr dogo anaweza akaondolewa ulingoni direct kwenye ambulance akapewa na hela ya matibabu baada TKO 1st round.
Anaenda kufanya kazi chini ya kampuni ya TMT sio kwenda kupigana na boss wa TMT.
 
Bila belt he ain't nothing. Wacha apate belt kwanza. Lakini anatuma, si kawaida ya watanzania kujituma hivi ama pengine baba yake ni mkenya.
Someni hapa kujua ni bondia wa ngapi duniani na Africa😂😂😂😂👇👇👇👇Tunaongea na evidence😂😂😂👇👇👇
Serikali yatoa neno kwa bondia Hassan Mwakinyo

JUMATATU , 10TH SEP , 2018
NA MWANDISHI WETU
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe amempongeza bondia, Hassan Mwakinyo aliyeshinda pambano lake nchini Uingereza wikiendi iliyopita kwa kumchapa, Sam Eggington katika raundi ya pili.




Bondia Hassan Mwakinyo kushoto akiwa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe (kulia)​
Akijibu swali la mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi hii leo bungeni jijini Dodoma, Waziri Mwakyembe amesema,
“Mhe.Spika niruhusu nielezee kidogo yaliyofanyika usiku wa jana kwa mtanzania mwenzetu Hassan Mwakinyo wa Tanga kwa ushindi mnono aliupata huko Birmingham, Uingereza kwa kumchapa bondia wa Uingereza, Sam Eggington katika raundi ya pili tu kati ya raundi kumi"
“Kabla ya pambano hilo kufanyika, bondia wa Uingereza alikuwa namba nane katika ubora duniani kati ya mabondia 1852 wakati bondia Hassan alikuwa bondia wa 174 na baada ya matokeo haya, Hassan ni bondia wa 16 duniani na ni bondia wa kwanza barani Afrika na Tanzania",
ameongeza Dkt.Mwakyembe.
Aidha katika swali la nyongeza la mbunge wa Malindi, Ally Saleh lililouliza kama serikali ilimtambua bondia, Hassan Mwakinyo kabla ya pambano hilo, Waziri Mwakyembe amejibu.
“Mwanamasumbwi, Hassan Mwakinyo sisi kama serikali tulikuwa tunamfahamu kabla ya pambano hilo, alikuwa bingwa wa WBA kwa bara la Afrika na alikuwa nafasi ya 174 kidunia katika uzito wa Welterweight, kwa hiyo tumpongeze kijana huyu"
“Tunahakikisha sasahivi kuwa vijana wetu wote wanaofanya vizuri katika mashindano mbalimbali tunawatambua na kuendeleza vipaji vyao ", amemalizi Dkt.Mwakyembe

© 2018 East Africa Television Limited. All Rights Reserved
 
Hivi waandishi wa habari wameshindwa hata kuhoji kiasi gani alipata kwenye pambano lake?

Lakini sintashangaa waandika mayweather amewaalika mlo wa $ ngapi kwa unoko mwingine hatujambo

Mapambano yote huwa yanaandikwa kila kitu lakini wa Hassan hawakumtendea haki inabidi wamsaidie sana.

Au mpaka aendeshe Bugatti ndio ataonekana mbele ya watu
 
pengine wa tandale😀😀😀....sababu sijawahi mskia hata siku moja huyo jamaa
 
hakuna chochote hapo...jamaa sjawahi mskia hata siku moja😀😀😀
😂😂😂😂 Utamsikiaje nahuku kwako huna TV wala kingamuzi kazi kushinda kwenye dump site😂😂
 
😂😂😂😂 Utamsikiaje nahuku kwako huna TV wala kingamuzi kazi kushinda kwenye dump site😂😂
huyo nimekwambia pengine ni superstar wa tandale...hakuna aliyewahi hata kumskia hata siku moja😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…