Mayweather ‘welcomes’ TZ boxer Mwakinyo to his roster

Mayweather ‘welcomes’ TZ boxer Mwakinyo to his roster

sawa tujivunie bondia kapata jina, japo na fake news tunaziona, but when it comes to Floyd M. Jr dogo anaweza akaondolewa ulingoni direct kwenye ambulance akapewa na hela ya matibabu baada TKO 1st round.
Soma vizuri
 
Zaidi ya Biko, Ningejua mapema ningekuwa mpiga ngumi.
Sema ungekuwa mpigwa ngumi mkuu,maana kwa vituko vyako huwezi kuwa makini watakupasua vibaya ila sema tu kwa kuwa umebarikiwa mbio najua ungekuwa unaruka ulingo na kutoka nduki.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Bila belt he ain't nothing. Wacha apate belt kwanza. Lakini anatuma, si kawaida ya watanzania kujituma hivi ama pengine baba yake ni mkenya.
Unafanya joke au ni kweli huu ugojwa unawatafuna bigly
 
Bila belt he ain't nothing. Wacha apate belt kwanza. Lakini anatuma, si kawaida ya watanzania kujituma hivi ama pengine baba yake ni mkenya.
Mmh mnataka kumchukua awe mkenya? Nyie majirani mna wivu sana, mmetuibia mlima tukakaa kimya mbuga zetu tumekaa kimya na sasa bondia wetu, mbona wakimbiaji wenu hatujawaiba?
 
Huyo jamaa aliyepigwa, kama alikua bora zaidi yake, je alishawahi pigana na Mayweather, mpaka huyu wetu apigane nae?
 
Mmh mnataka kumchukua awe mkenya? Nyie majirani mna wivu sana, mmetuibia mlima tukakaa kimya mbuga zetu tumekaa kimya na sasa bondia wetu, mbona wakimbiaji wenu hatujawaiba?
wakituibia le mutuz ntafurahi sana
 
Huyu dogo anamzidi Francis Cheka?
uzito tofauti Mwakinyo super welterweight(68kgs) na Cheka super middleweight (75 KGS)..ila watu wengi hampendi ngumi yakitokea matukio kama haya kelele...dogo anajulikana kwa wapenzi wa ngumi..ameshapigana Russia,Botswana nk..rank yake duniani 16 kati ya mabondia 1853...
 
Bila belt he ain't nothing. Wacha apate belt kwanza. Lakini anatuma, si kawaida ya watanzania kujituma hivi ama pengine baba yake ni mkenya.
Rubbish...Fransis Cheka mabondia wa Kenya wanamkimbiaga
 
huyo nimekwambia pengine ni superstar wa tandale...hakuna aliyewahi hata kumskia hata siku moja😀😀
wewe jamaa acha hizo...anawezaje kurank number 16 kati ya mabondia 1583 duniani...hupendi boxing..alafu ngumi mchezo wa kikatili wale"daddy can I drive your car"hawawezi ndio maana Mayweather hajui kusoma ...dogo njia imefunguka ..commentator alivyotaja Tanzania waingereza kende zikanywea kimyaa...The future is bright
 
Back
Top Bottom