Mayweather ‘welcomes’ TZ boxer Mwakinyo to his roster

Mayweather ‘welcomes’ TZ boxer Mwakinyo to his roster

Bila belt he ain't nothing. Wacha apate belt kwanza. Lakini anatuma, si kawaida ya watanzania kujituma hivi ama pengine baba yake ni mkenya.
Hassan mwakinyo ana belt ya WBA aliipata baada ya kumpiga Anthony jarmanny wa botswana na ushindi huo nao pia ulkuwa ni wa TKO kama huu juzi
 
mbona ye anasema hana meneja, huyo meneja katokea wapi?
 
Hahahaha tena anatumiwa na tigo pesa hyo.

Sema sio mbaya, kwa vile hakuitegemea... istoshe kaenda kutengeneza njia, sasa anaweza kuja kuwa anakamata mkwanja mrefu.. ingawa hiyo six lazima aigawe gawe kwa wana waliomuungia hadi akafika kule
 
Kila la kheri kwake..
Kwa sasa anahitaji wataalamu zaidi ya kocha ili aweze ku maintain status kama si kuiongeza zaidi.

Changamoto za wanamichezo wetu wakishapata sifa mara moja wanalitia tembo maji linaacha kunoga halafu wanapotea..
 
Back
Top Bottom