Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We don't target $4000/= from marathon ... Mayweather in the making😂😂😂pengine wa tandale😀😀😀....sababu sijawahi mskia hata siku moja huyo jamaa
Sasa ndo utamjua😂😂😂😀😀who the hell is that😳😳emu wacha jokes
Hivi mbona wabongo tunakuwa mawazo ya hovyo . Why unakuwa na mawazo ya kukatisha tamaa ? Kwa nini ? Kwahiyo asiende kupigana na My Weather ? Dah aisee kama huna cha kupost pita pembeni. It seems akili zako fupi sanasawa tujivunie bondia kapata jina, japo na fake news tunaziona, but when it comes to Floyd M. Jr dogo anaweza akaondolewa ulingoni direct kwenye ambulance akapewa na hela ya matibabu baada TKO 1st round.
Mvumo wa radio😂😂😂huyo nimekwambia pengine ni superstar wa tandale...hakuna aliyewahi hata kumskia hata siku moja😀😀
Yupo kwenye list ya wataopigana kama hujafuatilia alichosema promotor wake kaa kimya. Wapo mabondia watatu ambao anaweza pigana nao mmoja wao ni My Weather.Anaenda kufanya kazi chini ya kampuni ya TMT sio kwenda kupigana na boss wa TMT.
Ndio maana nimesema na fake news zipo, na ndio kama hiyo. Wakala wake alisema kwa kinywa chake kuwa Hassan anandoto siku moja akipige na mambondia fulani, kwenye list na Mayweather alikuwepo.Anaenda kufanya kazi chini ya kampuni ya TMT sio kwenda kupigana na boss wa TMT.
Hata kama ni wa Tandale, lakini nilivyomuona akimchakaza MZUNGU yule, kijana yupo vizuri sana. Raundi ya kwanza, MZUNGU aliokolewa na kengere ya kumaliza raundi ya kwanza.huyo nimekwambia pengine ni superstar wa tandale...hakuna aliyewahi hata kumskia hata siku moja😀😀
Tupatie evidence. Tatizo Kingereza unakitafasiri kwa kisukuma😂😂Yupo kwenye list ya wataopigana kama hujafuatilia alichosema promotor wake kaa kimya. Wapo mabondia watatu ambao anaweza pigana nao mmoja wao ni My Weather.
Sijaelewa hapaHe is the leading boxer from Africa.
He is at position number 16 worldwide with 4 and a half stars.
Tatizo umekalia umbea tu wa humu. Alipohojiwa na Salim Kikeke BBC promotor wake aliweka wazi ninachokwambia. Kalia tu umbea.Tupatie evidence. Tatizo Kingereza unakitafasiri kwa kisukuma[emoji23][emoji23]
Wivu tu unakusumbua. Ukikuwa utahacha😂😂😂Ndio maana nimesema na fake news zipo, na ndio kama hiyo. Wakala wake alisema kwa kinywa chake kuwa Hassan anandoto siku moja akipige na mambondia fulani, kwenye list na Mayweather alikuwepo.
Ila kusema TMT iingie mkataba naye tumedanganywa, labda ije itokee baadaye
Huyu dogo anamzidi Francis Cheka?Someni hapa kujua ni bondia wa ngapi duniani na Africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Tunaongea na evidence[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Serikali yatoa neno kwa bondia Hassan Mwakinyo
JUMATATU , 10TH SEP , 2018
NA MWANDISHI WETU
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe amempongeza bondia, Hassan Mwakinyo aliyeshinda pambano lake nchini Uingereza wikiendi iliyopita kwa kumchapa, Sam Eggington katika raundi ya pili.
![]()
Bondia Hassan Mwakinyo kushoto akiwa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe (kulia)Akijibu swali la mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi hii leo bungeni jijini Dodoma, Waziri Mwakyembe amesema,
“Mhe.Spika niruhusu nielezee kidogo yaliyofanyika usiku wa jana kwa mtanzania mwenzetu Hassan Mwakinyo wa Tanga kwa ushindi mnono aliupata huko Birmingham, Uingereza kwa kumchapa bondia wa Uingereza, Sam Eggington katika raundi ya pili tu kati ya raundi kumi"
“Kabla ya pambano hilo kufanyika, bondia wa Uingereza alikuwa namba nane katika ubora duniani kati ya mabondia 1852 wakati bondia Hassan alikuwa bondia wa 174 na baada ya matokeo haya, Hassan ni bondia wa 16 duniani na ni bondia wa kwanza barani Afrika na Tanzania", ameongeza Dkt.Mwakyembe.
Aidha katika swali la nyongeza la mbunge wa Malindi, Ally Saleh lililouliza kama serikali ilimtambua bondia, Hassan Mwakinyo kabla ya pambano hilo, Waziri Mwakyembe amejibu.
“Mwanamasumbwi, Hassan Mwakinyo sisi kama serikali tulikuwa tunamfahamu kabla ya pambano hilo, alikuwa bingwa wa WBA kwa bara la Afrika na alikuwa nafasi ya 174 kidunia katika uzito wa Welterweight, kwa hiyo tumpongeze kijana huyu"
“Tunahakikisha sasahivi kuwa vijana wetu wote wanaofanya vizuri katika mashindano mbalimbali tunawatambua na kuendeleza vipaji vyao ", amemalizi Dkt.Mwakyembe
[emoji767] 2018 East Africa Television Limited. All Rights Reserved
Leta evidence sio brah brah😂😂 Wivu utakunyonga😂😂Tatizo umekalia umbea tu wa humu. Alipohojiwa na Salim Kikeke BBC promotor wake aliweka wazi ninachokwambia. Kalia tu umbea.
Promotor wake mjanja mjanja anajua kutumia media.Yupo kwenye list ya wataopigana kama hujafuatilia alichosema promotor wake kaa kimya. Wapo mabondia watatu ambao anaweza pigana nao mmoja wao ni My Weather.
Umsikie wewe kama nani! sikiliza mtangazaji alivyo kua akitaja mataji aliyo shika ile siku akimdunda mzungu.hakuna chochote hapo...jamaa sjawahi mskia hata siku moja😀😀😀
Wivu tu unakusumbua. Ukikuwa utahacha😂😂😂
Wanapigana ktk uzito tofauti and that makes a big difference.Huyu dogo anamzidi Francis Cheka?
Kama hujawahi kufuatilia boxing kaa kimya mkuu, watu ukiondoa basket na football, boxing ni mchezo wa tatu kuufuatilia.Hivi mbona wabongo tunakuwa mawazo ya hovyo . Why unakuwa na mawazo ya kukatisha tamaa ? Kwa nini ? Kwahiyo asiende kupigana na My Weather ? Dah aisee kama huna cha kupost pita pembeni. It seems akili zako fupi sana