Mayweather ‘welcomes’ TZ boxer Mwakinyo to his roster

sawa tujivunie bondia kapata jina, japo na fake news tunaziona, but when it comes to Floyd M. Jr dogo anaweza akaondolewa ulingoni direct kwenye ambulance akapewa na hela ya matibabu baada TKO 1st round.
Hivi mbona wabongo tunakuwa mawazo ya hovyo . Why unakuwa na mawazo ya kukatisha tamaa ? Kwa nini ? Kwahiyo asiende kupigana na My Weather ? Dah aisee kama huna cha kupost pita pembeni. It seems akili zako fupi sana
 
Anaenda kufanya kazi chini ya kampuni ya TMT sio kwenda kupigana na boss wa TMT.
Yupo kwenye list ya wataopigana kama hujafuatilia alichosema promotor wake kaa kimya. Wapo mabondia watatu ambao anaweza pigana nao mmoja wao ni My Weather.
 
Anaenda kufanya kazi chini ya kampuni ya TMT sio kwenda kupigana na boss wa TMT.
Ndio maana nimesema na fake news zipo, na ndio kama hiyo. Wakala wake alisema kwa kinywa chake kuwa Hassan anandoto siku moja akipige na mambondia fulani, kwenye list na Mayweather alikuwepo.
Ila kusema TMT iingie mkataba naye tumedanganywa, labda ije itokee baadaye
 
huyo nimekwambia pengine ni superstar wa tandale...hakuna aliyewahi hata kumskia hata siku moja😀😀
Hata kama ni wa Tandale, lakini nilivyomuona akimchakaza MZUNGU yule, kijana yupo vizuri sana. Raundi ya kwanza, MZUNGU aliokolewa na kengere ya kumaliza raundi ya kwanza.
Raundi ya pili, ilibidi refarii aingie kati kumuokoa MZUNGU, kwani alikuwa hawezi tena hata kukinga uso asipigwe ngumi nzito alizokuwa anapigwa mfururizo!
 
Yupo kwenye list ya wataopigana kama hujafuatilia alichosema promotor wake kaa kimya. Wapo mabondia watatu ambao anaweza pigana nao mmoja wao ni My Weather.
Tupatie evidence. Tatizo Kingereza unakitafasiri kwa kisukuma😂😂
 
Tupatie evidence. Tatizo Kingereza unakitafasiri kwa kisukuma[emoji23][emoji23]
Tatizo umekalia umbea tu wa humu. Alipohojiwa na Salim Kikeke BBC promotor wake aliweka wazi ninachokwambia. Kalia tu umbea.
 
Wivu tu unakusumbua. Ukikuwa utahacha😂😂😂
 
Huyu dogo anamzidi Francis Cheka?
 
Tatizo umekalia umbea tu wa humu. Alipohojiwa na Salim Kikeke BBC promotor wake aliweka wazi ninachokwambia. Kalia tu umbea.
Leta evidence sio brah brah😂😂 Wivu utakunyonga😂😂
 
Yupo kwenye list ya wataopigana kama hujafuatilia alichosema promotor wake kaa kimya. Wapo mabondia watatu ambao anaweza pigana nao mmoja wao ni My Weather.
Promotor wake mjanja mjanja anajua kutumia media.

Money weather ameshatangaza kustaafu tangu amchape Pac man.

Kifupi hata kama Mayweather asingekuwa retired pro boxing bado rank yake alikuwa hawezi kupigana na dogo Hassan Mwakinyo alie chini sana.

Wakinyo awashinde akina Kell Brooks, Vagas, Khan, Pac Man ndio apate fursa ya kupigana na Boss wa TMT Mayweather.

Hiyo list sio rahisi kuwamaliza kwa ushindi plus rematch hadi kumfikia jamaa miaka miwili hadi mitatu ijayo.
 
Hivi mbona wabongo tunakuwa mawazo ya hovyo . Why unakuwa na mawazo ya kukatisha tamaa ? Kwa nini ? Kwahiyo asiende kupigana na My Weather ? Dah aisee kama huna cha kupost pita pembeni. It seems akili zako fupi sana
Kama hujawahi kufuatilia boxing kaa kimya mkuu, watu ukiondoa basket na football, boxing ni mchezo wa tatu kuufuatilia.
Dogo Hassan uwezo ila bado tena nasema bado hajafikia viwango hata vya kumaliza round 3 na Pac Man, bado mchanga sana, apige zoezi vya kutosha.
haya we mwenye akili ndefu
 
Hivi wanavyopigana hawa jamaa huwa wanakua na ugomvi au inakuaje? Msaada tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…