Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Soma vizurisawa tujivunie bondia kapata jina, japo na fake news tunaziona, but when it comes to Floyd M. Jr dogo anaweza akaondolewa ulingoni direct kwenye ambulance akapewa na hela ya matibabu baada TKO 1st round.
Sema ungekuwa mpigwa ngumi mkuu,maana kwa vituko vyako huwezi kuwa makini watakupasua vibaya ila sema tu kwa kuwa umebarikiwa mbio najua ungekuwa unaruka ulingo na kutoka nduki.[emoji85] [emoji85] [emoji85]Zaidi ya Biko, Ningejua mapema ningekuwa mpiga ngumi.
teethless pointhakuna chochote hapo...jamaa sjawahi mskia hata siku moja😀😀😀
teethless questionHuyu dogo anamzidi Francis Cheka?
Unafanya joke au ni kweli huu ugojwa unawatafuna biglyBila belt he ain't nothing. Wacha apate belt kwanza. Lakini anatuma, si kawaida ya watanzania kujituma hivi ama pengine baba yake ni mkenya.
'Mwakinyo' Ni mkenya?Bila belt he ain't nothing. Wacha apate belt kwanza. Lakini anatuma, si kawaida ya watanzania kujituma hivi ama pengine baba yake ni mkenya.
Mmh mnataka kumchukua awe mkenya? Nyie majirani mna wivu sana, mmetuibia mlima tukakaa kimya mbuga zetu tumekaa kimya na sasa bondia wetu, mbona wakimbiaji wenu hatujawaiba?Bila belt he ain't nothing. Wacha apate belt kwanza. Lakini anatuma, si kawaida ya watanzania kujituma hivi ama pengine baba yake ni mkenya.
wakituibia le mutuz ntafurahi sanaMmh mnataka kumchukua awe mkenya? Nyie majirani mna wivu sana, mmetuibia mlima tukakaa kimya mbuga zetu tumekaa kimya na sasa bondia wetu, mbona wakimbiaji wenu hatujawaiba?
pesa baba,Hivi wanavyopigana hawa jamaa huwa wanakua na ugomvi au inakuaje? Msaada tafadhali.
Tatizo lugha mkuuAnaenda kufanya kazi chini ya kampuni ya TMT sio kwenda kupigana na boss wa TMT.
Umri unaruhusu na ukwepaji wako wa makonde tuZaidi ya Biko, Ningejua mapema ningekuwa mpiga ngumi.
$70,000Hiv mfano juz aliposhinda inawezekana kapata shngap?
uzito tofauti Mwakinyo super welterweight(68kgs) na Cheka super middleweight (75 KGS)..ila watu wengi hampendi ngumi yakitokea matukio kama haya kelele...dogo anajulikana kwa wapenzi wa ngumi..ameshapigana Russia,Botswana nk..rank yake duniani 16 kati ya mabondia 1853...Huyu dogo anamzidi Francis Cheka?
$70,000
Rubbish...Fransis Cheka mabondia wa Kenya wanamkimbiagaBila belt he ain't nothing. Wacha apate belt kwanza. Lakini anatuma, si kawaida ya watanzania kujituma hivi ama pengine baba yake ni mkenya.
huo mwanzo anakwenda kusign fight ya $15m soooonnnnKibongobongo ameshatoka huyu maana hapo ana milion 150 na ushee...hongera kaka bondia.
wewe jamaa acha hizo...anawezaje kurank number 16 kati ya mabondia 1583 duniani...hupendi boxing..alafu ngumi mchezo wa kikatili wale"daddy can I drive your car"hawawezi ndio maana Mayweather hajui kusoma ...dogo njia imefunguka ..commentator alivyotaja Tanzania waingereza kende zikanywea kimyaa...The future is brighthuyo nimekwambia pengine ni superstar wa tandale...hakuna aliyewahi hata kumskia hata siku moja😀😀