Mazao jamii ya maharage ni fursa nzuri ya biashara

Hii inafaa Kyle ambako bado wanalima kieny3ji...bila mb3gu za kisasa,no mbolea za viwandani,Wala madawa yoyote...ukishaanza kutumia hivi vitu,umeshakuwa mtumwa ...nunua mb3gu,nunua dawa kulinda mimea...ununie dawa ya kuitunza mbegu !
Ndio hapo.sasa unaenda sokoni Gunia la Mahindi 30,000.00 utajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…