Hii inafaa Kyle ambako bado wanalima kieny3ji...bila mb3gu za kisasa,no mbolea za viwandani,Wala madawa yoyote...ukishaanza kutumia hivi vitu,umeshakuwa mtumwa ...nunua mb3gu,nunua dawa kulinda mimea...ununie dawa ya kuitunza mbegu !Bibi yangu hakwenda shule alitumia njia hii kutunza mimea yake. Akiona mashina mawili yameshambuliwa anabeba majivu. Alifanya hivi kwa magonjwa yote.
Nilitaka kuwauliza wataalamu wa kilimo uhusiano uliopo kati ya majivu na wadudu wanaoshambulia mazao.
Njia nyingine aliyotumia ni kung’oa mimea iliyoshambuliwa na kuichoma Moto. Hakutumia kemikali kabisa.
Ndio hapo.sasa unaenda sokoni Gunia la Mahindi 30,000.00 utajuta