Mazao yangu mwaka huu nitauza bei ghali sana


Project inayofauta alizeti mzee hekali 10 tu tosha
 
Sio lazima bali kula ni lazima utanunua tu
Sema kilimo kinahitaji Akili na sio kwa kusema utauza kilo moja 5000 ya mpunga , Wakati hapa dsm mchele grade one hauzidi 3000 so jitafakari
 
Mchele unaotoka nje hauna ubora ndio huo wa mama Samia unauza bei hizo ila huu wetu bei ipo pale pale haishuki
Uko wapi wewe,as I speak to you now,kanda ya ziwa Michele mpya umefika 1700 na ndio waneanza kuvuna
 
Wakulima tutaheshimika tu, tulidharaurika sana, tulichekwa sana,
Zama za kuuza gunia elf 30 zimeshapita
Zamani mlikua wajeuri, mlikua mnasema mimi silimi nasubiri wakulima wavune nitanunua tu,
Serikali isiingilie ugomvi huu, iache mazao yajipangie bei yenyewe sokoni
 
Inategemea unalima nini, bado Kuna mazao mengi tu bei ipo chini mno.
 
Inategemea na soko litakuaje. Huwezi kuamua kuuza gunia laki 1 wakati bei kwenye soko ni 80k

Kwa lugha nyepesi huna uwezo wa kupanga bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…