- Thread starter
- #41
Gunia 22 kwa ukubwa gani wa shamba,je ulitumia mbolea mara ngapi?
Unashangaa gunia 22
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gunia 22 kwa ukubwa gani wa shamba,je ulitumia mbolea mara ngapi?
Mwaka huu alizeti sijalima ila nimelima mahindi na migomba huko Moro,nashukuru mahindi sasa hivi unga unatoka ndani na sio kupima vi kilokilo.
Nilichogundua tunajinyima kwenye kula kwa kubalance maisha,hivyo nakula mpaka najigeuza [emoji1][emoji3]
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Hapana,ila nahitaji taarifa zaidi.Mimi nimepanga kulima ekari 10Unashangaa gunia 22
Hapana,ila nahitaji taarifa zaidi.Mimi nimepanga kulima ekari 10
TaboraUnalimia wapi mzee
Tabora
Inaitwaje hiiView attachment 2615646
Hiyo inakusaidia zipo nyingi sana bongo
Kwaiyo Mkuu lazima ununue Magari na Majumba.
Sema kilimo kinahitaji Akili na sio kwa kusema utauza kilo moja 5000 ya mpunga , Wakati hapa dsm mchele grade one hauzidi 3000 so jitafakariSio lazima bali kula ni lazima utanunua tu
Mchele unaotoka nje hauna ubora ndio huo wa mama Samia unauza bei hizo ila huu wetu bei ipo pale pale haishukiTani 90000 za mchele ziko njiani,mchele utauzwa kilo 1290
Uko wapi wewe,as I speak to you now,kanda ya ziwa Michele mpya umefika 1700 na ndio waneanza kuvunaMchele unaotoka nje hauna ubora ndio huo wa mama Samia unauza bei hizo ila huu wetu bei ipo pale pale haishuki
Uko wapi wewe,as I speak to you now,kanda ya ziwa Michele mpya umefika 1700 na ndio waneanza kuvuna
Sikuwepo nchiniMwezi uliopita mmeuziwa bei gani
Sikuwepo nchini
Kivipi?Basi huyajui mengi ya nchi hii
Inategemea unalima nini, bado Kuna mazao mengi tu bei ipo chini mno.Wakulima tutaheshimika tu, tulidharaurika sana, tulichekwa sana,
Zama za kuuza gunia elf 30 zimeshapita
Zamani mlikua wajeuri, mlikua mnasema mimi silimi nasubiri wakulima wavune nitanunua tu,
Serikali isiingilie ugomvi huu, iache mazao yajipangie bei yenyewe sokoni