Mazava chawapa likizo ya kibabe ya miezi 3 isiyo na malipo wafanyakazi wake

Mazava chawapa likizo ya kibabe ya miezi 3 isiyo na malipo wafanyakazi wake

Hali sio nzuri kwa kweli, hapa inabidi serikali ikopeshe hivi viwanda waweze kujiendesha, la sivyo vyengine vipo njiani kufanya kama hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi habari ni mbaya sana kwenye uchumi wetu
Wataalamu wa mambo ya uchumi walitabiri Viwanda kufungwa kuanzia mwezi wa saba na kuendelea ila kama vimenza sasa basi hata watabiri wa uchumi watabaki midomo wazi
 
Nssf inaweza kucollapse pia kwa maana viwanda vinastrugle sana kipindi hichi cha baa la corona
 
Mungu naomba atusaidie.Utuondolee hii kitu baba ,tumetubu na uturehemu sawasawa na fadhili zako.Kiasi cha wingi wa rehema zako utusamehe makosa yetu.Zab51.Amen
Wanasema makundi makubwa sana ya Nzige kutoka Kenya yanaelekea Tanzania yetu sio swarms tena bali ni plague wamezaana Kenya na Somalia na Ethiopia
Kenya imetangaza kuomba msaada kawani imeshindwa kuwadhibiti

downloadfile-3.jpg

downloadfile-3.jpg
Locusts-1.jpg
 
Hivi unaona kubadilisha matumizi ya kiwanda ni jambo dogo?..
Ni sawa na twiga cement waamue kusema wanafunga kiwanda alafu uwashauri watengeneze matofali wauze badala ya kufunga.
Wafanyakazi zaidi ya 1,000 wa kiwanda cha kushona Jezi cha Mazava mkoani Morogoro, wamezuiliwa kuingia kiwandani hapo baada ya kiwanda hicho kutangaza kusimamisha shughuli za uzalishaji kwa kipindi cha miezi mitatu, na kudai kuwa walikubaliana kifungwe Mei 24.

Source: EastAfrica Radio
Mytake - fursa kwa ni bora washone Barakoa kuliko kufunga kiwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila nachoandika najikuta nakifuta kwa sababu fulani fulani hivi, ila basi
 
Back
Top Bottom