Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Astaghafilullah !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu mtupu, CCM ndo iloleta Corona? kiwanda kitashona jezi ambazo hazitumiki?Hii ndo ccm mpya
Hatukulilia total lockdown tulisema maeneo yalioathirika zaidi ndio yawekewe lockdown ila tulisema kufunga viwanja vya ndege kwani ugonjwa unatokea nje
BismilahiAstaghafilullah !
Upumbavu mtupu, CCM ndo iloleta Corona? kiwanda kitashona jezi ambazo hazitumiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye ndio chanzo au ni uchumi ndio Tatizo. Watanzania mnatakiwa mbadirishe mitazamo mimi sipo Tanzania nipo ulaya hata huku viwanda vimefungwa. Corona imetikisa uchumi wa dunia. Hapohapo mnadai lockdown hapohapo tena mnalia kiwanda kufungwa. Mwenye kiwanda atauza bidhaa zake wapi watu wakiwa lockdownThings falls apart halafu mtu bado anajificha.
Distancing na kuvaa barakoa kazi za viwandani sio kukumbatianaNa hao wa viwandani mlishauri nini?
Maana hapo wengi hawana mikataba.
Kuingia kwao kibaruani ndo kulipwa kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna akili mkuu. Tatizo hapo ni corona sio CCMHii ndo ccm mpya
Magufuli ni tatizo juzi IMF imetoa fedha kwa nchi majirani ili kusaidia kujikimu na kolona kwasababu wamejaribu kupambana na hanga hiliKwani yeye ndio chanzo au ni uchumi ndio Tatizo. Watanzania mnatakiwa mbadirishe mitazamo mimi sipo Tanzania nipo ulaya hata huku viwanda vimefungwa. Corona imetikisa uchumi wa dunia. Hapohapo mnadai lockdown hapohapo tena mnalia kiwanda kufungwa. Mwenye kiwanda atauza bidhaa zake wapi watu wakiwa lockdown
Hauna akili mkuu. Tatizo hapo ni corona sio CCM
Hamuoni ubovu wa Jiwe,...Hali sio nzuri kwa kweli, hapa inabidi serikali ikopeshe hivi viwanda waweze kujiendesha, la sivyo vyengine vipo njiani kufanya kama hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima kuchukua pesa, ni kupambana tu. Kwani China wao nani kawasaidia pesa si walipambana wenyewe. Ni kupiga kazi tu. Kila Taifa linashuka kiuchumi kipindi hichi kila mwananchi apambanie life lake tuache kuwalaumu viongozi.Magufuli ni tatizo juzi IMF imetoa fedha kwa nchi majirani ili kusaidia kujikimu na kolona kwasababu wamejaribu kupambana na hanga hili
Magufuli yeye hapokei hata simu za viongozi